2026 KICD CBC Curriculum Design8 Strands · 18 Sub-strands60 Suggested Lessons

Grade 2 Kiswahili Activities Strands, Sub-strands & Schemes of Work (2026)

Access the complete curriculum designs, strands, sub-strands, specific learning outcomes, inquiry questions, and downloadable schemes of work for Grade 2 Kiswahili Activities. Preview Term 1 below or choose your specific term for direct export to Microsoft Word (.docx) and PDF.

Grade 2 Kiswahili Activities Curriculum Facts

Summary of syllabus structure, strands, lesson periods, and approved textbooks for Grade 2 Kiswahili Activities under the Kenya CBC curriculum framework.

Class / Level
Grade 2
Pre-Primary Education
Major Strands
8 Strands
18 Sub-strands
Annual Lessons
60 Lesson Periods
5 Lessons Per Week
Terms Available
Terms 1, 2 & 3
Complete Word & PDF
Term 1 Live Preview

Grade 2 Kiswahili Activities Term 1 Scheme Table

13-week teaching matrix with specific learning outcomes, inquiry questions, learning experiences, and assessment methods.

Scheme Font Size:

Changes text size in this preview and in downloaded Word (.docx) & PDF files.

65 Lessons · Weeks Merged← Swipe horizontally to see all columns →
WkLsnStrandSub-strandSpecific Learning OutcomesKey Inquiry Question(s)Learning ExperiencesLearning ResourcesAssessment MethodsReflection
11ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo

1. Je, ni sauti zipi unazojua kutamka?

- Mwanafunzi aweza kutambua sauti /g/, /d/, /j/, na /r/ katika maneno.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
2ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika kujenga stadi ya kusikiliza

1. Je, ni sauti zipi unazojua kutamka?

- Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
3ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusikiliza

1. Je, ni sauti zipi unazojua kutamka?

- Mwanafunzi atambue sauti alizosoma katika maneno.

- Mwanafunzi aweza kutumia teknolojia (papaya) kusikiliza matamshi ya sauti lengwa.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
4ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma

1. Unajua kusoma herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
5ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma

1. Unajua kusoma herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
21ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma

1. Unajua kusoma herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.

- Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
2ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kuandika

1. Unajua kuandika herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kuyagawa maneno marefu katika sehemu fupi fupi.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
3ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku.

b) kuthamini umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni.

1. Unajua kuandika herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi aandike herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.

- Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
4ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuthamini umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni.

1. Unajua kuandika herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
5ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuthamini umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni.

1. Unajua kuandika herufi na maneno gani?

- Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
31ShuleniSauti na majina ya herufi za Kiswahili

Official KICD Syllabus

Grade 2 Kiswahili Activities Strands and Sub-strands (Full Curriculum)

Explore the complete curriculum designs for Grade 2 Kiswahili Activities. Includes specific learning outcomes (SLOs), key inquiry questions (KIQs), learning experiences, and teaching resources.

1
Strand 1.0

Shuleni

3 Sub-strands14 Lessons

1.1 Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Term 18 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo
  • kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika kujenga stadi ya kusikiliza
  • kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusikiliza
  • kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma
  • kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma
  • kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma
  • kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kuandika
  • kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku.
  • kuthamini umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni sauti zipi unazojua kutamka?
  • Unajua kusoma herufi na maneno gani?
  • Unajua kuandika herufi na maneno gani?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi aweza kutambua sauti /g/, /d/, /j/, na /r/ katika maneno.
  • Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.
  • Mwanafunzi atambue sauti alizosoma katika maneno.
  • Mwanafunzi aweza kutumia teknolojia (papaya) kusikiliza matamshi ya sauti lengwa.
  • Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
  • Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.
  • Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
  • Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.
  • Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kuyagawa maneno marefu katika sehemu fupi fupi.
  • Mwanafunzi aandike herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.
  • Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

1.2 Kusoma: Hadithi

Term 13 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua picha za vitu vinavyopatikana shuleni katika kujenga stadi ya kusoma
  • kuelezea picha katika hadithi ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
  • kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu vitu vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha umakinifu
  • kusoma hadithi kuhusu shule ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa katika kupata mafunzo ya hadithi
  • kuchangamkia kusoma hadithi kuhusu shule.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unaona nini katika picha?
  • Ni nini kitatendeka katika hadithi?
  • Ni nani wahusika katika hadithi?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi asikize mwalimu anaposoma hadithi kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye asome peke yake kwa sauti.
  • Wanafunzi wasomeane hadithi wakiwa wawili wawili au katika vikundi.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kwenye vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi na kinasasauti na kufuatilia yanayosomwa kwenye projekta.
  • Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kutoka kwa jitabu mbele ya darasa.
  • Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.
  • Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali yanayotokana na hadithi aliyosoma na kusomewa.
  • Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

1.3 Msamiati: Nambari 11-50

Term 13 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua nambari 11-50 kwa maneno ili kuimarisha mawasiliano
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Andika nambari gani kati ya 11 hadi 50?
  • Taja 11-50 kwa Kiswahili.?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi asome majina ya nambari 11-50.
  • Wanafunzi wasome kadi za nambari 11-50 na majina yake ili kuziambatanisha katika vikundi.
  • Mwanafunzi aandike nambari 11-50.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

2
Strand 2.0

Haki Zangu

1 Sub-strand6 Lessons

2.1 Sauti na majina ya herufi za Kiswahili

Term 16 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya kuzungumza
  • kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
  • kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma
  • kusoma herufi za sauti moja kwa ufasaha ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa kwa ufasaha ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa ili kuimarisha stadi ya kuandika
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni sauti zipi unazojua kutamka?
  • Unajua kusoma herufi na maneno gani?
  • Unajua kuandika herufi na maneno gani?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi aweza kutambua sauti /p/, /f/ na /v/ katika maneno.
  • Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.
  • Mwanafunzi atambue sauti alizosoma katika maneno.
  • Mwanafunzi aweza kutumia teknolojia (papaya) kusikiliza matamshi ya sauti lengwa.
  • Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
  • Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.
  • Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
  • Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.
  • Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kugawa maneno marefu katika sehemu ndogo ndogo.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

3
Strand 3.0

Usafiri

2 Sub-strands7 Lessons

3.1 Sauti za herufi mbili za Kiswahili

Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua sauti za herufi mbili zilizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kusikiliza na kuzungumza
  • kutamka sauti lengwa za herufi mbili katika kuimarisha stadi ya kuzungumza
  • kusoma herufi za sauti mbili ili kuimarisha usomaji bora
  • kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora
  • kusoma hadithi fupi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha usomaji bora
  • kuandika maneno kutokana na herufi alizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kuandika
  • kufurahia kutumia sauti zilizofunzwa katika mawasiliano.
  • kuzungumza kuhusu vyombo vya usafiri ili kuimarisha uwezo wa kujieleza
  • kusikiliza visa kuhusu usafiri ili kuimarisha umakinifu
  • kusikiliza kisa kuhusu usafiri ili kuimarisha ukakamavu katika kujieleza
  • kufurahia masimulizi kuhusu vyombo vya usafiri ili kuimarisha mawasiliano.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni sauti zipi unazojua kutamka?
  • Unajua kusoma silabi na maneno yapi?
  • Unajua kuandika silabi na maneno yapi?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi atambue sauti /ch/ na /dh/ katika maneno.
  • Mwanafunzi asikilize sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.
  • Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya kiteknolojia kama vile papaya na DVD kusikiliza sauti zikitamkwa.
  • Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
  • Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.
  • Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
  • Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akitamka sauti lengwa.
  • Mwanafunzi aandike herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.
  • Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi.
  • Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa wakiwa wawili wawili.
  • Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta na kipasasauti na rununu kusikiliza na kusoma hadithi.
  • Mwanafunzi ashiriki katika mjadala darasani au katika vikundi kuhusu vyombo mbalimbali vya usafiri.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza masimulizi kuhusu vyombo vya usafiri kwa kutumia video au kinasa sauti.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

3.2 Kusoma: Hadithi

Term 23 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua picha za vyombo mbalimbali vya usafiri ili kuimarisha ufahamu wa hadithi
  • kuelezea maana ya maneno yaliyotumiwa katika hadithi ili kuimarisha ufahamu wa hadithi
  • kusikiliza hadithi inaposomwa na mwalimu ili kuimarisha umakinifu
  • kusoma hadithi zinazohusu usafiri kujenga stadi ya kusoma
  • kufahamu hadithi aliyoisoma kuhusu usafiri ili kupata ujumbe katika hadithi
  • kuchangamkia kusoma hadithi katika maisha ya kila siku ili
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Umewahi kusoma hadithi ipi?
  • Ni hadithi ipi iliyokufurahisha zaidi?
  • Unamkumbuka mhusika gani katika hadithi uliyosoma?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi
  • Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza mwalimu anaposoma hadithi kisha asome na mwalimu na baadaye asome peke yake, wakiwa wawili wawili au katika vikundi.
  • Mwanafunzi asimulie hadithi aliyoisoma au kusomewa kwa kutumia maneno yake mwenyewe.
  • Mwanafunzi aweza kurekodiwa akisoma vizuri kwa video au kinasa sauti ili wanafunzi waweze kutazama na kusikiliza jinsi ya kusoma hadithi kwa ufasaha.
  • Mwanafunzi aweza kufanya ziara ya kwenda kuona vyombo vya usafiri kwenye vituo vya usafiri.
  • Mwanafunzi ajibu maswali ya ufahamu akiwa peke yake, wawili wawili au katika vikundi.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

4
Strand 4.0

Familia

2 Sub-strands9 Lessons

4.1 Sauti za herufi mbili za Kiswahili

Term 26 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua sauti za herufi mbili zilizofunzwa ili kuimarisha stadi ya kusikiliza na kuzungumza
  • kutamka sauti lengwa za herufi mbili katika kuimarisha stadi ya
  • kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu watu wa familia ili kujenga umakinifu
  • kuelezea kuhusu watu wa familia katika kuimarisha uwezo wa kuwaelezea watu katika mazingira yake
  • kuthamini umuhimu wa familia katika kuendeleza mshikamano wa kijamii.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unaweza kutamka sauti zipi ulizofunzwa awali?
  • Unaweza kutambua sauti gani za herufi?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi atambue sauti /gh/, /ny/ na /ng'/ katika maneno.
  • Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa /gh/, /ny/ na /ng'/ kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na kama darasa.
  • Mwanafunzi aweza kutumia teknolojia kama vile
  • Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika nyimbo au mashairi kuhusu watu wa familia.
  • Mwanafunzi aweza kutazama video picha au michoro inayoonyesha watu wa familia ili wajadiliane katika vikundi.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

4.2 Kusoma: Hadithi

Term 23 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua picha za watu wa familia ili kuimarisha ufahamu wa hadithi
  • kusikiliza hadithi za mwalimu kuhusu watu wa familia ili kuimarisha umakinifu
  • kusoma hadithi kuhusu watu wa familia ili kuimarisha usomaji bora
  • kufahamu hadithi aliyoisoma na aliyosomewa ili kupata ujumbe
  • kuchangamkia kusoma hadithi kuhusu watu wa familia katika kujenga ari ya usomaji bora.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unaweza kutambua watu gani katika picha?
  • Hadithi inahusu watu gani?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi kisha asome na mwalimu na baadaye asome peke yake, wawili wawili au katika vikundi.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekta.
  • Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kutoka kwa jitabu mbele ya darasa.
  • Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.
  • Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na hadithi.
  • Mwanafunzi atoe muhtasari wa hadithi aliyosoma au kusomewa.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

5
Strand 5.0

Usalama Wangu

1 Sub-strand4 Lessons

5.1 Sauti na herufi mbili za Kiswahili

Term 24 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua sauti za herufi mbili katika kuimarisha matamshi bora
  • kutamka sauti za Kiswahili za herufi mbili katika kuimarisha matamshi bora
  • kusoma silabi za sauti zinazoundwa kutokana na sauti mbili ili kuimarisha usomaji
  • kuunda silabi na maneno kwa kutumia sauti lengwa katika kuimarisha umilisi wa kusoma maneno
  • kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kusoma hadithi fupi zilizo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kuandika maneno kutokana na herufi za sauti lengwa katika kuimarisha uandishi
  • kufurahia kutumia sauti zilizofunzwa katika mawasiliano.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, sauti /sh/ na /th/ hutamkwa vipi?
  • Je, ni maneno kama gani ambayo yana sauti /sh /na /th /?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi atambue sauti /sh/na /th/ katika maneno
  • Mwanafunzi asikilize sauti lengwa ikitamkwa na mwalimu kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili na kama darasa nzima.
  • Mwanafunzi aweza kutumia vifaa vya kiteknolojia kama vile papaya, tarakilishi na projekta kusikiliza sauti lengwa ikitamkwa.
  • Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.
  • Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa.
  • Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.
  • Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri katika kutamka sauti lengwa.
  • Mwanafunzi asome maneno kwa kuyagawa maneno marefu katika sehemu ndogo ndogo.
  • Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa wakiwa wawili wawili.
  • Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi inayowakilisha sauti lengwa.
  • Mwanafunzi anakili herufi na maneno yanayotokana na sauti alizofunzwa.
  • Mwanafunzi aandike herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

6
Strand 6.0

Hali ya Anga

2 Sub-strands5 Lessons

6.1 Alfabeti ya Kiswahili

Term 22 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua alfabeti ya Kiswahili ili kuimarisha usomaji
  • kusoma alfabeti ya Kiswahili kwa mfuatano ufaao katika kuimarisha matumizi ya kamusi baadaye
  • kubainisha irabu za Kiswahili ili kuelewa jinsi silabi huundwa
  • kubainisha konsonanti za Kiswahili ili kuelewa jinsi silabi huundwa
  • kuandika alfabeti ya Kiswahili katika kuimarisha uandishi bora
  • kuthamini alfabeti katika
  • kusimulia kuhusu hali mbalimbali za anga ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
  • kusikiliza masimulizi kuhusu hali ya anga ili kujenga umakinifu
  • kuthamini umuhimu wa hali ya anga katika maisha ya kila siku.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, lugha ya Kiswahili ina herufi ngapi?
  • Je, ni herufi gani unazoweza kusoma?
  • Alfabeti ni nini?
  • Lugha ya Kiswahili ina konsonanti ngapi?
  • Lugha ya Kiswahili ina irabu ngapi?
  • Je, irabu na konsonanti hutofautianaje katika alfabeti?
  • Alfabeti ina umuhimu upi katika lugha?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi asome alfabeti ya Kiswahili kwa mfuatano: a, b, ch, d, dh, e, f, g, gh, h, i, j, k, l, m, n, ng', ny, o, p, r, s, sh, t, th, u, v, w, y, z.
  • Mwanafunzi aweza kusoma alfabeti kwenye chati.
  • Mwanafunzi aweza kuimba wimbo wa alfabeti.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza alfabeti ya Kiswahili ikikaririwa kwenye vifaa vya kiteknolojia kama vile kinasasauti.
  • Mwanafunzi ashiriki katika kikundi ili kutenganisha konsonanti na irabu akitumia kadi za herufi.
  • Mwanafunzi aandike alfabeti ya Kiswahili.
  • Wanafunzi washiriki katika mjadala kuhusu umuhimu wa alfabeti katika lugha.
  • za anga tofauti kama vile upepo, jua, mvua na mawingu katika makundi.
  • Mwanafunzi aelezee hali mbalimbali za anga kwa kutumia michoro au picha .
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

6.2 Kusoma: Hadithi

Term 23 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua picha za kuonyesha hali ya anga ili kuimarisha ufahamu
  • kutambua maneno yanayohusiana na hali ya anga ili kuimarisha usomaji
  • kusoma hadithi zinazohusu hali ya anga ili kuimarisha usomaji
  • kusikiliza hadithi za mwalimu kuhusu hali ya anga ili kujenga stadi ya kusoma na kusikiliza
  • kufahamu hadithi aliyoisoma kuhusu hali ya anga ili kupata ujumbe
  • kuchangamkia kusoma hadithi katika maisha ya kila siku.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni hadithi zipi ambazo umewahi kusoma?
  • Kati ya hadithi hizo, ni ipi iliyokufurahisha zaidi?
  • Unakumbuka nani katika hadithi hiyo?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi kisha asome na mwalimu na baadaye asome peke yake, wawili wawili au katika vikundi.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekta.
  • Mwanafunzi asome hadithi kutoka kwa jitabu mbele ya darasa.
  • Mwanafunzi aweza kusoma hadithi kutoka kwa kitabu cha hadithi.
  • Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi.
  • Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

7
Strand 7.0

Lishe Bora

4 Sub-strands9 Lessons

7.1 Msamiati

Term 33 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua msamiati kuhusu lishe bora ili kuimarisha mawasiliano
  • kusoma maneno yanayohusiana na lishe bora ili kuimarisha usomaji
  • kuandika maneno yanayohusu lishe bora katika kuimarisha uandishi bora
  • kutumia msamiati ulisomwa katika kutunga sentensi ili kuimarisha mawasiliano
  • kuthamini kula chakula kinachofaidi mwili ili kujikinga kutokana na madhara ya ukosefu wa lishe bora.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, unaweza kutambua vyakula vipi?
  • Ni chakula kipi unachokipenda?
  • Ni chakula kipi kinachofaidi mwili zaidi?
  • Ni chakula kipi kinachodhuru afya?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi aelezee maana ya msamiati unaohusiana na lishe bora kama vile protini, vitamini, wanga (vyakula vinavyopatia mwili nguvu) chumvi, ukosefu, upungufu na baadhi ya vyakula vinavyofaidi mwili na afya.
  • Wanafunzi wajadiliane katika vikundi au wakiwa wawili wawili kuhusu vyakula vinavyodhuru afya.
  • Mwanafunzi atazame kwenye vyombo vya kiteknolojia na kuvijadili picha za vyakula vinavyoashiria msamiati unaorejelewa.
  • Mwanafunzi asome majina mbalimbali ya vyakula kwenye kadi za maneno.
  • Mwanafunzi anakili kwenye daftari msamiati unaofunzwa.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

7.2 Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi

Term 32 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua vyakula vinavyofaa mwili ili kuimarisha stadi ya kuzungumza
  • kuzungumzia juu ya chakula anachokipenda ili kuimarisha mazungumzo
  • kuzungumzia juu ya chakula kinachodhuru afya ili kuelewa madhara ya vyakula hivyo
  • kusikiliza masimulizi kuhusu lishe bora ili kujenga stadi ya kusikiliza
  • kuthamini vyakula vinavyofaidi mwili ili kuchagua vyakula kwa uangalifu.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unapenda kula chakula gani?
  • Chakula unachokila husaidiaje mwili?
  • Ni chakula kipi kinachoweza kudhuru afya?
  • kikiliwa sana?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ataje baadhi ya vyakula kwa kuonyeshwa michoro na vyakula halisi.
  • Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa vyakula mbalimbali k.m. vinavyompa mtu nguvu, vinavyomkinga mtu kutokana na magonjwa, vinavyoleta joto mwilini, vinavyowezesha mtu kukua n.k.
  • Mwanafunzi ashiriki katika mazungumzo kuhusu
  • chakula akipendacho.
  • Mwanafunzi ashiriki katika mjadala kuhusu chakula kinachodhuru afya k.m. vibanzi, biskuti
  • Mwanafunzi aweza kumsikiliza mgeni mwalikwa akisimulia kuhusu lishe bora na madhara ya vyakula vinavyodhuru afya
  • Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video kuhusu lishe bora na madhara ya vyakula hasi na baadaye washiriki katika mijadala ya vikundi.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

7.3 Kusoma: Hadithi

Term 33 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kusikiliza hadithi ya mwalimu ili kuimarisha stadi za kusikiliza na kusoma
  • kusoma hadithi kwa mtiririko ufao ili kuimarisha stadi ya kusoma
  • kufahamu hadithi aliyosoma na kusomewa ili kuelewa ujumbe katika hadithi
  • kuchangamkia kusoma hadithi ili kuendelea kujenga stadi ya kusoma.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni hadithi zipi ambayo umewahi kusoma?
  • Ni hadithi ipi iliyokufurahisha zaidi?
  • Unamkumbuka nani katika hadithi hiyo?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi, asome pamoja na mwalimu kisha asome peke yake, wakiwa wawili wawili au katika vikundi.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kupitia kinasasauti.
  • Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma na kusomewa hadithi.
  • Mwanafunzi aweza kutazama video ya mtu au mtoto akisoma hadithi husika kwa ufasaha kisha aige usomi ule.
  • Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kuhusu hadithi.
  • Mwanafunzi asimulie hadithi kutokana na picha alizopewa kuhusu lishe bora.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

7.4 Sarufi:Matumizi ya hiki na hivi

Term 31 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • aweze:
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unatumia neno gani kuonyeshea?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi asome vifungu vinavyojumuisha hiki na hivi kama vile Kitabu hiki – Vitabu hivi; Kiti hiki –
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

8
Strand 8.0

Mnyama Nimpendaye

3 Sub-strands6 Lessons

8.1 Msamiati

Term 33 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kuwatambua wanyama wa nyumbani kwa majina yao ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kuelezea maana ya msamiati
  • kutumia majina ya wanyama katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
  • kutumia msamiati unaohusu utunzaji wanyama katika sentensi ili kujenga mapenzi ya kuwatunza wanyama wa nyumbani
  • kuthamini umuhimu wa kuwatunza wanyama wa nyumbani.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni mnyama gani umpendaye?
  • Kwa nini unampenda mnyama huyo?
  • Unamtunzaje?
  • mnyama umpendaye?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi awatambue wanyama wa nyumbani kama vile ng'ombe, mbuzi, kondoo, ngamia na punda kwa majina yao kwa kutumia picha, michoro na wanyama halisi.
  • Mwanafunzi atunge sentensi sahihi kutumia msamiati wa utunzaji wa wanyama kama vile lishe,
  • zizi nk.
  • Mwanafunzi aelezee msamiati unaotumiwa katika kutunza wanyama.
  • Mwanafunzi achore baadhi ya wanyama na kuandika majina yao.
  • Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video ya utunzaji wa wanyama.
  • Mwanafunzi aweza kutazama michoro na picha za wanyama wa nyumbani na wanyama wakitunzwa.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

8.2 Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi

Term 32 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kumtambua mnyama ampendaye ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kusimulia kuhusu mnyama ampendaye ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kusikiliza masimulizi kuhusu utunzaji wa wanyama ili kujenga usikivu
  • kuthamini wanyama ili kushiriki katika kuwatunza.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni mnyama gani umpendaye?
  • Kwa nini unampenda mnyama huyo?
  • Unamtunzaje mnyama umpendaye?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi atambue mnyama ampendaye kupitia kwa maswali na majibu.
  • Mwanafunzi asimulie kuhusu mnyama ampendaye katika darasa, wakiwa wawili wawili na katika vikundi.
  • Mwanafunzi aweza kusimuliwa jinsi ya kutunza wanyama kupitia kwa mgeni mwalikwa.
  • Mwanafunzi aweza kuwatambua wanyama wa nyumbani kwa kutumia michoro na picha halisi.
  • Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayohusu utunzaji wa wanyama mbalimbali.
  • Wanafunzi waweza kushiriki katika mjadala kuhusu jinsi wanavyowatunza wanyama wawapendao.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

8.3 Kusoma: Hadithi

Term 31 Lessons
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • mwanafunzi aweze:
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Umewahi kusoma hadithi kuhusu?
Suggested Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
Teaching Resources

Approved course books, concrete realia, charts, manipulatives & digital devices.

Grade 2 Kiswahili Activities Schemes of Work by Term (1, 2 & 3)

Download editable schemes of work and explore strands for all terms in Grade 2 Kiswahili Activities.

Term 1 Scheme13 Weeks
  • Shuleni
  • Haki Zangu
  • Usafiri
Term 2 Scheme14 Weeks
  • Usafiri
  • Familia
  • Usalama Wangu
  • Hali ya Anga
Term 3 Scheme9 Weeks
  • Lishe Bora
  • Mnyama Nimpendaye

Other Grade 2 Learning Areas & Schemes

Download complete, editable schemes of work and explore strands for all subjects in Grade 2.

Explore Schemes for Other CBC Classes

Browse curriculum designs and ready-to-print schemes across Pre-Primary, Primary, and Junior Secondary levels.

Curriculum Compliance & Official Accreditation

All schemes of work on this platform are meticulously aligned with official standards set by Kenyan educational statutory authorities:

Help & Answers

Frequently Asked Questions

What are the main strands in Grade 2 Kiswahili Activities?

The official KICD strands for Grade 2 Kiswahili Activities are: Shuleni, Haki Zangu, Usafiri, Familia, Usalama Wangu, Hali ya Anga, Lishe Bora, Mnyama Nimpendaye. Each strand is broken down into structured sub-strands with specific learning outcomes, inquiry questions, and suggested lesson periods.

Which sub-strands are taught across Term 1, Term 2, and Term 3 in Grade 2 Kiswahili Activities?

The curriculum is systematically distributed across all three terms based on Ministry of Education term durations. Term 1 covers foundational strands, Term 2 advances core competencies, and Term 3 focuses on measurement, geometry, application, and revision. Review the curriculum breakdown above for the term-by-term allocation.

Are specific learning outcomes and inquiry questions included in these schemes?

Yes, every lesson in our Grade 2 Kiswahili Activities schemes contains exact KICD specific learning outcomes (knowledge, skills, and attitudes), key inquiry questions, learning experiences, and assessment methods.

Can I download editable Word (.docx) and PDF schemes for Grade 2 Kiswahili Activities?

Yes! You can instantly download formatted, editable Microsoft Word files (.docx) or print-ready PDFs for Term 1, Term 2, and Term 3, or customize them with your school name, TSC number, and term dates.