2026 KICD CBC Curriculum Design13 Weeks · 65 Lessons4 Strands in Term 1

Grade 1 Kiswahili Activities Schemes of Work & Strands (Term 1 2026)

Comprehensive curriculum designs, strands, sub-strands, specific learning outcomes, inquiry questions, and editable schemes of work for Grade 1 Kiswahili Activities Term 1. Free on-page syllabus breakdown with instant export to editable Word (.docx) and PDF.

Grade 1 Kiswahili Activities Term 1 Curriculum Overview

Summary of syllabus requirements, weekly distribution, key milestones, and course books approved by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) for Grade 1 Kiswahili Activities in Term 1.

Class / Grade
Grade 1
Pre-Primary Level
Learning Area
Kiswahili Activities
Core CBC Activity
Term Duration
13 Weeks (65 Lessons)
5 Lessons Per Week
Key Milestones
Mid: Wk 8 · Exam: Wk 13
Ministry of Education 2026
Full Term Timetable

Grade 1 Kiswahili Activities Term 1 Scheme of Work Table

Week-by-week lesson matrix with specific learning outcomes, inquiry questions, learning experiences, and assessment methods.

Scheme Font Size:

Changes text size in this preview and in downloaded Word (.docx) & PDF files.

65 Lessons · Weeks Merged← Swipe horizontally to see all columns →
WkLsnStrandSub-strandSpecific Learning OutcomesKey Inquiry Question(s)Learning ExperiencesLearning ResourcesAssessment MethodsReflection
11Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua maneno yatumiwayo katika maamkuzi

1. Tunatumia maneno gani katika salamu?

- Mwanafunzi aigize maamkuzi kama vile hujambo? Sijambo; Hamjambo? Hatujambo darasani

- Mwanafunzi ajadili mchoro wa watu wawili wakisalimiana

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
2Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuamkua na kuitikia maamkuzi ili kujenga stadi ya kuzungumza

1. Tunatakiwa kusalimiana vipi?

- Wanafunzi wasalimiana na kisha washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkuzi

- Wanafunzi waweza kuwekwa katika vikundi ili wajadili kuhusu umuhimu wa maamkuzi

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
3Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua umuhimu wa salamu katika mawasiliano

b) kufurahia kushiriki katika maamkuzi.

1. Kwa nini tunasalimiana?

- Wanafunzi wawili waweza kushirikishwa katika kuigiza maamkuzi mepesi

- Wanafunzi waweza kuigiza maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
4Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kufurahia kushiriki katika maamkuzi.

1. Kwa nini tunasalimiana?

- Wanafunzi waweza kuigiza maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
5Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kufurahia kushiriki katika maamkuzi.

1. Kwa nini tunasalimiana?

- Wanafunzi waweza kuigiza maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
21Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

4Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maagizo

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani

b) kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani

1. Umewahi kuambiwa ufanye jambo lolote?

2. Ni nani anayetakiwa kutoa maagizo?

- Mwanafunzi ashiriki katika kutoa na kufuata maagizo kama vile simama, keti, andika na chora

- Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video ya jinsi ya kutoa na kufuata maagizo

- Mwanafunzi ashiriki katika mjadala wa maagizo yafaayo na yasiyofaa kufuatwa

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
5Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maagizo

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kubainisha maagizo yanayopaswa kufuatwa katika mazingira yake

b) kuthamini umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku.

1. Ni maagizo yepi yanayotakiwa kufuatwa na yasiyotakiwa kufuatwa?

2. Kufuata maagizo kuna umuhimu gani?

- Mwanafunzi afafanue umuhimu wa maagizo

- Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika masimulizi ya matokeo ya kufuata na kutofuata maagizo

- Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
31Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maagizo

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuthamini umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku.

1. Kufuata maagizo kuna umuhimu gani?

- Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
2Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maagizo

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuthamini umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku.

1. Kufuata maagizo kuna umuhimu gani?

- Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
3Karibu DarasaniKusikiliza na Kuzungumza: Maagizo

5Mimi na WenzanguKusikiliza na Kuzungumza: Maelezo

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua wenzake darasani kwa majina, jinsia, miaka na gredi ili kuweza kuwaelezea

b) kujieleza kwa kurejelea jina, jinsia, miaka na gredi kwa ufasaha katika mawasiliano ya kila siku

1. Wewe ni nani?

- Mwanafunzi asikilize maelezo ya wengine.

- Mwanafunzi aweza kusikiliza maelezo ya wenzake yaliyorekodiwa kwenye simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
Curriculum Design & Content

Grade 1 Kiswahili Activities Term 1 Strands and Sub-strands Breakdown

Official KICD curriculum breakdown taught during Term 1 in Grade 1 Kiswahili Activities. Includes specific learning outcomes (SLOs), key inquiry questions (KIQs), core learning experiences, and teaching aids.

1
Strand 1.0

Karibu Darasani

2 Sub-strands5 Lessons in Term 1

1.1 Kusikiliza na Kuzungumza: Maamkuzi

3 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua maneno yatumiwayo katika maamkuzi
  • kuamkua na kuitikia maamkuzi ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kutambua umuhimu wa salamu katika mawasiliano
  • kufurahia kushiriki katika maamkuzi.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Tunatumia maneno gani katika salamu?
  • Tunatakiwa kusalimiana vipi?
  • Kwa nini tunasalimiana?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi aigize maamkuzi kama vile hujambo? Sijambo; Hamjambo? Hatujambo darasani
  • Mwanafunzi ajadili mchoro wa watu wawili wakisalimiana
  • Wanafunzi wasalimiana na kisha washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkuzi
  • Wanafunzi waweza kuwekwa katika vikundi ili wajadili kuhusu umuhimu wa maamkuzi
  • Wanafunzi wawili waweza kushirikishwa katika kuigiza maamkuzi mepesi
  • Wanafunzi waweza kuigiza maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.2 Kusikiliza na Kuzungumza: Maagizo

2 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua maagizo mepesi yanapotolewa darasani
  • kutoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani
  • kubainisha maagizo yanayopaswa kufuatwa katika mazingira yake
  • kuthamini umuhimu wa maagizo katika maisha ya kila siku.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Umewahi kuambiwa ufanye jambo lolote?
  • Ni nani anayetakiwa kutoa maagizo?
  • Ni maagizo yepi yanayotakiwa kufuatwa na yasiyotakiwa kufuatwa?
  • Kufuata maagizo kuna umuhimu gani?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi ashiriki katika kutoa na kufuata maagizo kama vile simama, keti, andika na chora
  • Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video ya jinsi ya kutoa na kufuata maagizo
  • Mwanafunzi ashiriki katika mjadala wa maagizo yafaayo na yasiyofaa kufuatwa
  • Mwanafunzi afafanue umuhimu wa maagizo
  • Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika masimulizi ya matokeo ya kufuata na kutofuata maagizo
  • Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi yanayohusu maagizo
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2
Strand 2.0

Mimi na Wenzangu

3 Sub-strands8 Lessons in Term 1

2.1 Kusikiliza na Kuzungumza: Maelezo

3 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua wenzake darasani kwa majina, jinsia, miaka na gredi ili kuweza kuwaelezea
  • kujieleza kwa kurejelea jina, jinsia, miaka na gredi kwa ufasaha katika mawasiliano ya kila siku
  • kutoa muhtasari wa maelezo aliyoyasikia katika mazingira yake
  • kudhihirisha umakinifu wa kusikiliza katika mazingira yake
  • kuchangamkia maelezo yake na ya wenzake katika kuimarisha mawasiliano
  • kujivunia nafsi yake na wenzake katika miktadha mbalimbali.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Wewe ni nani?
  • Mwenzako ni nani?
  • Unapenda kufanya nini?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi asikilize maelezo ya wengine.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza maelezo ya wenzake yaliyorekodiwa kwenye simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.
  • Wanafunzi watoleane maelezo kuwahusu katika vikundi.
  • Wanafunzi wakiwa wawili wawili waulizane. maswali na kujibizana k.m. Unaitwaje?
  • Mwanafunzi atoe maelezo yake akizingatia jina, jinsia, umri na gredi mbele ya darasa.
  • Mwanafunzi aeleze maana ya msamiati unaotumiwa kujieleza k.v. umri, miaka,msichana, mvulana, gredi na rafiki.
  • Mwanafunzi atunge sentensi kwa kutumia maneno yanayotumiwa kujieleza na kueleza wenzake.
  • Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu maana na matumizi ya msamiati unaotumiwa k.m. umri, miaka, msichana, mvulana, gredi na rafiki katika vikundi.
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.2 Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi

2 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kusimulia hadithi aliyosikiliza darasani ili kujenga stadi ya kusikiliza
  • kufahamu hadithi aliyosimuliwa ili kupata ujumbe
  • kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika miktadha mbalimbali
  • kuchangamkia hadithi simulizi maishani.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Umewahi kusimuliwa kisa kipi?
  • Unatarajiwa kufanya nini unaposimuliwa masimulizi?
  • Unakumbuka nini katika masimulizi uliyosimuliwa?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi aweze kuwa makini anaposimuliwa masimulizi.
  • Mwanafunzi asikilize masimulizi kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.
  • Mwanafunzi aweza kusikiliza mgeni mwalikwa akisimulia masimulizi.
  • Wanafunzi waweza kuwekwa katika vikundi na kutoleana muhtasari wa masimulizi yaliyosimulia.
  • Mwanafunzi aulize na kujibu maswali kutokana na masimulizi.
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.3 Kusoma: Hadithi

3 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua msamiati uliyotumika katika hadithi ili kuweza kuutumia katika mawasiliano
  • kusikiliza hadithi zikisomwa ili kujenga usikivu
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni hadithi kusomewa?
  • Unatarajiwa kufanya nini unaposomewa hadithi?
  • Unakumbuka nini?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.
  • Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.
  • Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi.
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

3
Strand 3.0

Tarakimu

1 Sub-strand3 Lessons in Term 1

3.1 Kusikiliza na Kuzungumza:Msamiati

3 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua nambari moja hadi kumi (1-10) katika mazingira yake
  • kuhesabu nambari 1-10 kwa mfuatano ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kutaja majina ya nambari moja hadi kumi kwa mfululizo ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kutumia majina ya nambari moja hadi kumi kutunga sentensi ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kuthamini matumizi ya nambari katika maisha ya kila siku.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unajua kuhesabu nambari ngapi?
  • Hesabu moja hadi kumi.?
  • Unaweza kutumia majina yapi ya nambari moja hadi kumi katika sentensi?
  • Ni nini umuhimu wa nambari maishani?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi anaweza kupewa kadi za nambari azitaje kwa maneno.
  • Mwanafunzi aweza kukariri mashairi kuhusu nambari hadi kumi.
  • Mwanafunzi aweza kushirikishwa kuimba nyimbo za tarakimu.
  • Wanafunzi waambatanishe nambari na maneno kwa kuonyeshwa nambari na kutaja jina la nambari husika.
  • Wanafunzi wahesabu vidole kwa Kiswahili wakiwa wawili wawili k.m. mmoja anachukua kidole kimoja na mwingine anataja jina la nambari, 'moja' n.k.
  • Wanafunzi wanaweza kupanga kadi za majina ya nambari hadi kumi kwa utaratibu.
  • Mwanafunzi aweza kuonyeshwa nambari na jina kwa kutumia tarakilishi na projekta.
  • Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video ya wanafunzi wakisoma nambari hadi kumi kwa tarakilishi.
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

4
Strand 4.0

Siku za wiki

2 Sub-strands5 Lessons in Term 1

4.1 Kusikiliza na Kuzungumza: Msamiati

3 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku
  • kutaja majina ya siku za wiki kwa mfululizo ili kumsaidia kuratibu shughuli za siku
  • kuelezea shughuli za siku mbalimbali za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kutumia majina ya siku za wiki kutunga sentensi ili kuimarisha mawasiliano
  • kuthamini kila siku ya wiki ili kutilia maanani shughuli za siku husika maishani.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Wiki moja ina siku ngapi?
  • Unaenda shule siku gani?
  • Unaweza kutaja na kuandika majina yapi ya siku za wiki kwa mfuatano?
  • Waweza kutumia majina yapi ya siku za wiki katika sentensi?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi atambue siku za wiki yaani: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili kwa kutumia kadi za maneno.
  • Mwanafunzi aweza kuimba wimbo wa siku za wiki.
  • Mwanafunzi aweza kukariri mashairi kuhusu siku za wiki.
  • Mwanafunzi ashiriki katika majadiliano ya shughuli za siku za wiki k.m. Jumatatu naenda shule, Ijumaa, Jumamosi au Jumapili nashiriki ibada n.k.
  • Wanafunzi waweza kupanga kadi za majina ya siku za wiki kwa utaratibu wakiwa wawili wawili.
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

4.2 Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi

2 Suggested LessonsTerm 1
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kusimulia matukio katika siku tofauti za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza
  • kufahamu masimulizi ya matukio ya siku za wiki aliyosimuliwa ili kupata ujumbe
  • kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika mawasiliano
  • kuchangamkia masimulizi maishani ili kuimarisha usikivu.
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni matukio yapi uliyowahi kushuhudia?
  • Unatarajiwa kufanya nini unaposimuliwa kisa?
  • Unakumbuka nini katika matukio uliyosimuliwa?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi asimulie kisa darasani.
  • Mwanafunzi aonyeshe umakinifu anaposikiliza masimulizi ya mwalimu na wanafunzi wenzake.
  • Wanafunzi waweza kusimuliana matukio ya siku za wiki wakiwa wawili wawili.
  • Mwanafunzi asikilize masimulizi kuhusu matukio ya siku za wiki kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasasauti, kipakatalishi n.k.
  • Wanafunzi waweza kuwekwa katika vikundi na kutoleana muhtasari wa matukio yaliyosimuliwa hasa kwa kutumia vifaa vya teknolojia.
  • Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na masimulizi aliyosikiliza.
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

Grade 1 Kiswahili Activities Full Year Strands (Terms 1, 2 & 3)

Complete annual curriculum scope for Grade 1 Kiswahili Activities showing the term-by-term distribution of all 9 strands.

Term 1Current
  • Karibu Darasani
  • Mimi na Wenzangu
  • Tarakimu
  • Siku za wiki
  • Siku za wiki
  • Familia
  • Mwili Wangu
  • Mwili Wangu
  • Usafi wa Mwili
  • Vyakula vya kiasilia

Other Grade 1 Schemes of Work for Term 1

Download complete, editable schemes of work and explore strands for all learning areas in Grade 1.

Explore Schemes for Other CBC Grades

Browse curriculum designs and ready-to-print schemes across Pre-Primary, Primary, and Junior Secondary levels.

Curriculum Compliance & Official Accreditation

All schemes of work on this platform are meticulously aligned with official standards set by Kenyan educational statutory authorities:

Help & Answers

Frequently Asked Questions: Grade 1 Kiswahili Activities Term 1

What strands and sub-strands are covered in Grade 1 Kiswahili Activities Term 1?

In Term 1, Grade 1 Kiswahili Activities covers the following main strands: Karibu Darasani, Mimi na Wenzangu, Tarakimu, Siku za wiki. Each strand is broken down into specific sub-strands with allocated lesson periods across the 13-week term.

What are the specific learning outcomes for Grade 1 Kiswahili Activities in Term 1?

Each sub-strand defines measurable learning outcomes covering knowledge, psychomotor skills, and values. Learners engage in hands-on activities, realia observation, and collaborative problem-solving as outlined in the syllabus breakdown above.

How is Grade 1 Kiswahili Activities Term 1 structured across weeks?

This scheme spans 13 calendar weeks (65 lesson slots), with Mid-Term Break in Week 8 and End-of-Term Assessment in Week 13, in full compliance with the 2026 Kenyan Ministry of Education school calendar.

Can I download and edit this Term 1 scheme in Microsoft Word or PDF?

Yes. You can instantly download a completely editable Microsoft Word document (.docx) or print-ready PDF, or open it directly in the online scheme builder to customize teacher name, school name, and TSC details.