| 1 | 1 | Siku za wiki | Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuonyesha umakinifu wa kusikiliza katika mawasiliano b) kuchangamkia masimulizi maishani ili kuimarisha usikivu. | 1. Unatarajiwa kufanya nini unaposimuliwa kisa? 2. Unakumbuka nini katika matukio uliyosimuliwa? | - Mwanafunzi asikilize masimulizi kuhusu matukio ya siku za wiki kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasasauti, kipakatalishi n.k. - Wanafunzi waweza kuwekwa katika vikundi na kutoleana muhtasari wa matukio yaliyosimuliwa hasa kwa kutumia vifaa vya teknolojia. - Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na masimulizi aliyosikiliza. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | Siku za wiki | Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia masimulizi maishani ili kuimarisha usikivu. | 1. Unakumbuka nini katika matukio uliyosimuliwa? | - Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na masimulizi aliyosikiliza. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | Siku za wiki | Kusikiliza na Kuzungumza: Masimulizi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia masimulizi maishani ili kuimarisha usikivu. | 1. Unakumbuka nini katika matukio uliyosimuliwa? | - Mwanafunzi ajibu na kuuliza maswali kutokana na masimulizi aliyosikiliza. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 4 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kutambua msamiati uliotumika katika hadithi ili kuimarisha ufahamu | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - Uhusiano na Maadili: | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 5 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazojumuisha matukio ya siku za wiki ili kujenga umakinifu | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - Uhusiano na Maadili: | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | 1 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kufahamu hadithi aliyosomewa katika mada ili kupata ujumbe b) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - heshima kwa siku zilizotengewa shughuli za kidini. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - heshima kwa siku zilizotengewa shughuli za kidini. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - heshima kwa siku zilizotengewa shughuli za kidini. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 4 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - heshima kwa siku zilizotengewa shughuli za kidini. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 5 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - heshima kwa siku zilizotengewa shughuli za kidini. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | 1 | Siku za wiki | Kusoma Hadithi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. | 1. Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi. Mwanafunzi asikilize hadithi ikisomwa na mwalimu. Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi. Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi waliyosomewa katika vikundi. Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi. Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.? | - heshima kwa siku zilizotengewa shughuli za kidini. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | Familia | Sauti na majina ya herufi za Kiswahili | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo | 1. Ni sauti zipi unazojua kutamka? | - Mwanafunzi ashirikishwe kutambua sauti /m/, /a/, /u/ na /k katika maneno. - Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha watamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili na katika darasa. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | Familia | Sauti na majina ya herufi za Kiswahili | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno ili kuimarisha mazungumzo | 1. Ni sauti zipi unazojua kutamka? | - Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti. - Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 4 | Familia | Sauti na majina ya herufi za Kiswahili | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma | 1. Ni sauti zipi unazojua kutamka? | - Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. - Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 5 | Familia | Sauti na majina ya herufi za Kiswahili | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma | 1. Unajua kusoma herufi na maneno yapi? | - Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. - Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande. | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |