2026 KICD CBC Curriculum Design14 Weeks · 70 Lessons3 Strands in Term 2

Grade 9 Kiswahili Schemes of Work & Strands (Term 2 2026)

Comprehensive curriculum designs, strands, sub-strands, specific learning outcomes, inquiry questions, and editable schemes of work for Grade 9 Kiswahili Term 2. Free on-page syllabus breakdown with instant export to editable Word (.docx) and PDF.

Grade 9 Kiswahili Term 2 Curriculum Overview

Summary of syllabus requirements, weekly distribution, key milestones, and course books approved by the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) for Grade 9 Kiswahili in Term 2.

Class / Grade
Grade 9
Pre-Primary Level
Learning Area
Kiswahili
Core CBC Activity
Term Duration
14 Weeks (70 Lessons)
5 Lessons Per Week
Key Milestones
Mid: Wk 8 · Exam: Wk 14
Ministry of Education 2026
Full Term Timetable

Grade 9 Kiswahili Term 2 Scheme of Work Table

Week-by-week lesson matrix with specific learning outcomes, inquiry questions, learning experiences, and assessment methods.

Scheme Font Size:

Changes text size in this preview and in downloaded Word (.docx) & PDF files.

70 Lessons · Weeks Merged← Swipe horizontally to see all columns →
WkLsnStrandSub-strandSpecific Learning OutcomesKey Inquiry Question(s)Learning ExperiencesLearning ResourcesAssessment MethodsReflection
11KusomaKusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Kushawishi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi

b) kueleza maana za maneno kama yalivyotumiwa katika kifungu cha kushawishi

c) kuchangamkia usomaji wa kifungu cha kushawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji

1. Ni mambo gani unazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?

- kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi

- kueleza maana ya maneno kama yalivyotumika katika kifungu cha kushawishi ili kubainisha matumizi ya lugha shawishi

- kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma ili kubainisha matumizi ya lugha shawishi

- kujibu maswali kutokana na kifungu cha kushawishi alichokisoma

- kutoa muhtasari wa kifungu cha kushawishi alichosoma na kuwasambazia wenzake mtandaoni ili wakitolee maoni

- kutafiti mtandaoni kuhusu matini zinazoshughulikia suala lengwa

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
2KusomaKusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Kushawishi

3KusomaKusoma kwa Kina Ushairi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kueleza maana ya wahusika katika fasihi

b) kutambua wahusika katika shairi

c) kujadili sifa za wahusika katika shairi

d) kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika

e) kujenga mazoea ya kuchambua wahusika katika mashairi ili kuimarisha uwazaji wa kina

1. Ni wahusika gani uliokumbana nao katika mashairi uliyowahi kuya soma?

- kutafiti mtandaoni au maktabani maana ya wahusika katika fasihi

- kutambua wahusika (k.v. nafsineni) katika shairi akishirikiana na wenzake

- kujadili na wenzake sifa za wahusika katika shairi (jinsi ya kutambua sifa za wahusika katika shairi)

- kuchambua mashairi kutoka diwani iliyoteuliwa na mwalimu na kujadili sifa za wahusika kutokana na tabia zao, matendo yao, maelezo ya nafsineni kuwahusu, sura, umbo n.k

- kuigiza wahusika katika mashairi ili kukuza uelewa wa sifa zao

- kumsomea mzazi au mlezi wake shairi na kujadiliana naye kuhusu wahusika

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
4KusomaKusoma kwa Kina Ushairi

5KusomaKusoma kwa Mapana Matini ya kujichagulia

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kuteua matini ya kusoma ya kiwango chake

b) kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia

c) kutambua maana ya msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia

d) kutumia msamiati aliojifunza ipasavyo katika sentensi

e) kufurahia kusoma matini ya kujichagulia ili kujenga ufasaha wa lugha

1. Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?

2. Ni mambo gani unayoyazingatia wakati wa kusoma matini ya kujichagulia?

- kuchagua matini ya kiwango chake na kuisoma

- kueleza wenzake ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma

- kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia

- kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno asiyoyajua

- kujenga rekodi ya msamiati na matumizi mengine ya lugha aliyojifunza katika kitabu au shajara yake

- kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma

- kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni

- kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome

- kumsomea mzazi au mlezi wake muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma ili amtolee maoni

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
21KusomaKusoma kwa Mapana Matini ya kujichagulia

2KusomaKusoma kwa Ufasaha

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora

b) kusoma kifungu kwa kasi ifaayo

c) kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo

d) kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo

e) kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano

1. Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?

- kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha

- kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake

- kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora

- kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 115 kwa dakika)

- kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)

- kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa

- kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao

- kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
3KusomaKusoma kwa Ufasaha

4KusomaKusoma kwa Kina Ushairi Mbinu za lugha

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua mbinu za lugha katika fasihi

b) kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi

c) kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi

d) kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha

e) kuchangamkia matumizi ya lugha katika ushairi

1. Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?

- kutafiti na kutambua mbinu za lugha katika fasihi kujadili mbinu za lugha kwa mujibu wa mashairi aliyosoma akishirikiana na wenzake

- kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha na kuliwasilisha darasani

- kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu matumizi ya mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi waliyotunga na kuyatolea maoni

- kusoma mashairi katika diwani ya mashairi iliyoteuliwa na mwalimu na kuyachambua kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha kisha awasilishe kazi yake kwa wenzake ili waitolee maoni

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
5KusomaKusoma kwa Kina Ushairi Mbinu za lugha

31KusomaKusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Mjadala

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala

b) kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala

c) kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala

d) kufurahia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari

1. Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?

- kudondoa habari mahususi kwa mujibu wa kifungu cha mjadala alichosoma

- kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome na kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho

- kujadili na wenzake maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala

- kuchanganua mtazamo katika kifungu cha mjadala

- kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kupata habari mahususi katika kifungu cha mjadala ili watoe maoni

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
2KusomaKusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Mjadala

3KusomaUfupisho

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini

b) kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo

c) kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali

1. Unazingatia nini ili kuandika ufupisho ufaao?

- kujadili na wenzake vipengele vya ufupisho wa habari katika matini (kuzingatia maelekezo ya ufupisho, kueleza habari upya kwa maneno yake mwenyewe, kudondosha mifano na maelezo ya ziada, mpangilio wenye muwala)

- kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo na kuwasomea wenzake ili watoe maoni yao

- kusoma matini mbalimbali zikiwemo za mtandaoni na kufupisha habari kwa usahihi

- kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake habari aliyoifupisha kutoka katika matini aliyoisoma ili aitolee maoni

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
4KusomaUfupisho

5KuandikaViakifishi

By the end of the sub strand, the learner should be able to;

a) kutambua alama ya koloni na semi koloni katika matini

b) kueleza matumizi ya koloni na semi koloni katika matini

c) kutumia alama ya koloni na semi koloni ipasavyo katika matini

d) kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni na semi koloni katika matini mbalimbali

1. Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?

2. Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?

- kutambua alama ya koloni na semi koloni katika sentensi au vifungu kwenye matini andishi au za kidijitali

- kueleza matumizi ya koloni na semi koloni katika matini

- kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya koloni na semi koloni ipasavyo

- kuandika daftarini mwake au kwenye kifaa cha kidijitali, sentensi au kifungu kifupi kuhusu suala lengwa na masuala mengine kwa kutumia alama ya koloni na semi koloni ipasavyo

- kuwasomea wenzake kazi yake au kuwasambazia kwenye mtandao ili waitolee maoni

- kumweleza mzazi au mlezi wake kuhusu sentensi au vifungu alivyoandika vilivyo na matumizi mbalimbali ya alama za koloni na semi koloni

Approved course textbooks, realia, charts

- Observation

- Oral questions

- Written exercises

(Handwritten after lesson)
Curriculum Design & Content

Grade 9 Kiswahili Term 2 Strands and Sub-strands Breakdown

Official KICD curriculum breakdown taught during Term 2 in Grade 9 Kiswahili. Includes specific learning outcomes (SLOs), key inquiry questions (KIQs), core learning experiences, and teaching aids.

1
Strand 1.0

Kusoma

7 Sub-strands7 Lessons in Term 2

1.1 Kusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Kushawishi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
  • kueleza maana za maneno kama yalivyotumiwa katika kifungu cha kushawishi
  • kuchangamkia usomaji wa kifungu cha kushawishi ili kukuza hamu ya ujifunzaji
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni mambo gani unazingatia unaposoma kifungu cha kushawishi?
Learning Experiences
  • kudondoa habari mahususi katika kifungu cha kushawishi
  • kueleza maana ya maneno kama yalivyotumika katika kifungu cha kushawishi ili kubainisha matumizi ya lugha shawishi
  • kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma ili kubainisha matumizi ya lugha shawishi
  • kujibu maswali kutokana na kifungu cha kushawishi alichokisoma
  • kutoa muhtasari wa kifungu cha kushawishi alichosoma na kuwasambazia wenzake mtandaoni ili wakitolee maoni
  • kutafiti mtandaoni kuhusu matini zinazoshughulikia suala lengwa
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.2 Kusoma kwa Kina Ushairi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya wahusika katika fasihi
  • kutambua wahusika katika shairi
  • kujadili sifa za wahusika katika shairi
  • kuchambua shairi kwa kuzingatia sifa za wahusika
  • kujenga mazoea ya kuchambua wahusika katika mashairi ili kuimarisha uwazaji wa kina
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni wahusika gani uliokumbana nao katika mashairi uliyowahi kuya soma?
Learning Experiences
  • kutafiti mtandaoni au maktabani maana ya wahusika katika fasihi
  • kutambua wahusika (k.v. nafsineni) katika shairi akishirikiana na wenzake
  • kujadili na wenzake sifa za wahusika katika shairi (jinsi ya kutambua sifa za wahusika katika shairi)
  • kuchambua mashairi kutoka diwani iliyoteuliwa na mwalimu na kujadili sifa za wahusika kutokana na tabia zao, matendo yao, maelezo ya nafsineni kuwahusu, sura, umbo n.k
  • kuigiza wahusika katika mashairi ili kukuza uelewa wa sifa zao
  • kumsomea mzazi au mlezi wake shairi na kujadiliana naye kuhusu wahusika
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.3 Kusoma kwa Mapana Matini ya kujichagulia

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kuteua matini ya kusoma ya kiwango chake
  • kueleza ujumbe katika matini ya kujichagulia
  • kutambua maana ya msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia
  • kutumia msamiati aliojifunza ipasavyo katika sentensi
  • kufurahia kusoma matini ya kujichagulia ili kujenga ufasaha wa lugha
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unazingatia nini unapochagua matini ya kusoma?
  • Ni mambo gani unayoyazingatia wakati wa kusoma matini ya kujichagulia?
Learning Experiences
  • kuchagua matini ya kiwango chake na kuisoma
  • kueleza wenzake ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma
  • kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia
  • kutumia kamusi kutafuta maana ya maneno asiyoyajua
  • kujenga rekodi ya msamiati na matumizi mengine ya lugha aliyojifunza katika kitabu au shajara yake
  • kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma
  • kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni
  • kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome
  • kumsomea mzazi au mlezi wake muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma ili amtolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.4 Kusoma kwa Ufasaha

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora
  • kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
  • kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo
  • kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo
  • kujenga mazoea ya kusoma vifungu kwa kuzingatia vipengele vya usomaji matini ufaao ili kufanikisha mawasiliano
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, unazingatia nini unaposoma kifungu cha nathari?
Learning Experiences
  • kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha
  • kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala akiwa na wenzake
  • kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora
  • kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 115 kwa dakika)
  • kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo)
  • kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa
  • kuwasomea wenzake matini mbalimbali vitabuni au katika vifaa vya kidijitali akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili watoe maoni yao
  • kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake kifungu akizingatia vipengele vya usomaji ufaao ili amtolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.5 Kusoma kwa Kina Ushairi Mbinu za lugha

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua mbinu za lugha katika fasihi
  • kuchanganua matumizi ya lugha katika mashairi
  • kutumia mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi
  • kuchambua shairi kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha
  • kuchangamkia matumizi ya lugha katika ushairi
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Matumizi ya lugha katika shairi yana umuhimi gani kwa msomaji?
Learning Experiences
  • kutafiti na kutambua mbinu za lugha katika fasihi kujadili mbinu za lugha kwa mujibu wa mashairi aliyosoma akishirikiana na wenzake
  • kutunga shairi jepesi (lisilozidi beti tatu) kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha na kuliwasilisha darasani
  • kuhakiki uwasilishaji wa wenzake kuhusu matumizi ya mbinu mbalimbali za lugha katika mashairi waliyotunga na kuyatolea maoni
  • kusoma mashairi katika diwani ya mashairi iliyoteuliwa na mwalimu na kuyachambua kwa kuzingatia mbinu mbalimbali za lugha kisha awasilishe kazi yake kwa wenzake ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.6 Kusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Mjadala

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala
  • kueleza maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
  • kuchanganua mitazamo katika kifungu cha mjadala
  • kufurahia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Ni mambo gani hujidhihirisha katika kifungu cha ufahamu?
Learning Experiences
  • kudondoa habari mahususi kwa mujibu wa kifungu cha mjadala alichosoma
  • kusakura mtandaoni kifungu cha mjadala akisome na kudondoa habari mahususi katika kifungu hicho
  • kujadili na wenzake maana ya msamiati na vifungu kama vilivyotumiwa katika kifungu cha mjadala
  • kuchanganua mtazamo katika kifungu cha mjadala
  • kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kupata habari mahususi katika kifungu cha mjadala ili watoe maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

1.7 Ufupisho

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika ufupisho wa habari katika matini
  • kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
  • kufurahia kufupisha habari kwa usahihi katika miktadha mbalimbali
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unazingatia nini ili kuandika ufupisho ufaao?
Learning Experiences
  • kujadili na wenzake vipengele vya ufupisho wa habari katika matini (kuzingatia maelekezo ya ufupisho, kueleza habari upya kwa maneno yake mwenyewe, kudondosha mifano na maelezo ya ziada, mpangilio wenye muwala)
  • kuandika ufupisho wa habari kwa kuzingatia vipengele vifaavyo na kuwasomea wenzake ili watoe maoni yao
  • kusoma matini mbalimbali zikiwemo za mtandaoni na kufupisha habari kwa usahihi
  • kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake habari aliyoifupisha kutoka katika matini aliyoisoma ili aitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2
Strand 2.0

Kuandika

15 Sub-strands15 Lessons in Term 2

2.1 Viakifishi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua alama ya koloni na semi koloni katika matini
  • kueleza matumizi ya koloni na semi koloni katika matini
  • kutumia alama ya koloni na semi koloni ipasavyo katika matini
  • kufurahia matumizi yafaayo ya alama ya koloni na semi koloni katika matini mbalimbali
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, alama ya koloni hutumiwa wapi katika maandishi?
  • Je, alama ya semi koloni hutumiwa vipi katika maandishi?
Learning Experiences
  • kutambua alama ya koloni na semi koloni katika sentensi au vifungu kwenye matini andishi au za kidijitali
  • kueleza matumizi ya koloni na semi koloni katika matini
  • kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia alama ya koloni na semi koloni ipasavyo
  • kuandika daftarini mwake au kwenye kifaa cha kidijitali, sentensi au kifungu kifupi kuhusu suala lengwa na masuala mengine kwa kutumia alama ya koloni na semi koloni ipasavyo
  • kuwasomea wenzake kazi yake au kuwasambazia kwenye mtandao ili waitolee maoni
  • kumweleza mzazi au mlezi wake kuhusu sentensi au vifungu alivyoandika vilivyo na matumizi mbalimbali ya alama za koloni na semi koloni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.2 Insha za Kiuamilifu Barua ya Kirafiki

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua ujumbe unaoafiki katika kujibu barua ya kirafiki
  • kueleza lugha inayofaa katika kujibu barua ya kirafiki
  • kufafanua muundo unaofaa katika kujibu barua ya kirafiki
  • kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
  • kujenga mazoea ya kujibu barua ya kirafiki katika maisha ya kila siku
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unazingatia nini unapojibu barua ya kirafiki?
Learning Experiences
  • kutambua ujumbe unaoafiki anapojibu barua ya kirafiki
  • kueleza lugha inayofaa kujibu barua ya kirafiki
  • kujadili muundo wa kujibu barua ya kirafiki akishirikiana na wenzake
  • kujibu barua ya kirafiki akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao
  • kusomea wenzake barua aliyoiandika ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.3 Insha za Kubuni Masimulizi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa insha ya masimulizi
  • kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho
  • kufafanua ujumbe wa insha ya masimulizi kupitia kwa wahusika
  • kuandika insha ya masimulizi kwa kuzingatia ujumbe na muundo ufaao
  • kufurahia kufafanua ujumbe wa insha ya kusimulia ili kufanikisha maelezo
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unafanya nini unaposimulia jambo ili ujumbe wako upate kueleweka zaidi?
Learning Experiences
  • kutambua vipengele vya kufafanulia ujumbe wa simulizi
  • kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi na kufafanua ujumbe kupitia kwa utangulizi, kiini na hitimisho
  • kusoma kielelezo cha insha ya masimulizi kwenye matini za aina mbalimbali na kufafanua ujumbe kupitia kwa wahusika
  • kuandika insha ya masimulizi daftarini mwake au katika kifaa cha kidijitali akizingatia ufafanuzi ufaao wa ujumbe kupitia kwa utangulizi ,kiini, hitimisho n wahusika
  • kuwasomea wenzake insha aliyoandika darasani au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.4 Insha za Kubuni Masimulizi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari ili kuibanisha
  • kujadili lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari katika insha ya masimulizi
  • kuandika insha ya masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari
  • kufurahia kuandika insha za masimulizi akizingatia lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na uchoraji wa mandhari ufaao ili kufanikisha mawasiliano
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, unazingatia vipengele vipi unapoandika insha ya masimulizi?
Learning Experiences
  • kutambua vipengele vya lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari katika masimulizi kwenye matini andishi au za kidijitali
  • kusoma vielelezo vya insha ya kubuni kwenye matini za kimaandishi au za kidijitali na kubainisha lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari
  • kuandika insha ya masimulizi kuhusu suala lengwa akitumia vipengele vifaavyo vya lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari ili kujenga taswira zifaazo
  • kuwasomea wenzake insha aliyoandika kuhusu suala lengwa ili wachanganue lugha ya kitamathali, matendo ya wahusika na mandhari
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.5 Insha za Kiuamilifu Shajara

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya shajara
  • kujadili vipengele vya shajara
  • kuandika shajara akizingatia vipengele vyake
  • kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Kwa nini watu hutumia shajara?
Learning Experiences
  • kueleza maana ya shajara
  • kutafiti maktabani au kusakura mtandao salama na kusoma mifano ya shajara
  • kujadili na mwenzake shajara aliyoisoma mtandaoni
  • kujadili vipengele vya shajara kwa kurejelea kielelezo cha shajara akishirikiana na wenzake
  • kuandika shajara akizingatia vipengele vyake kama vile mambo ya kuandika kwenye shajara, muundo na mtindo
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.6 Insha za Kubuni Methali

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya insha za methali ili kuipambanua
  • kujadili vipengele vya insha ya methali
  • kuandika insha ya methali kwa kuzingatia vipengele vya uandishi husika
  • kufurahia kufasiri methali na kuziandikia insha zinazoafiki ili kujenga ubunifu
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unahitaji kufanya nini unapoandika insha ya methali?
Learning Experiences
  • kueleza maana ya insha za methali
  • kusoma kielelezo cha insha ya methali
  • kujadili na wenzake vipengele vya insha ya methali katika kielelezo cha insha aliyosoma
  • kuandika insha ya methali (k.v kuhusu methali zinazoangazia usalama barabarani; haraka haraka haina baraka, msafiri ni aliye pwani, polepole ndio mwendo) kwa kuzingatia vipengele vya uandishi wa insha ya methali
  • kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.7 Insha za Kubuni Maelezo

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika insha ya maelezo
  • kujadili umuhimu wa kutumia lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika insha ya maelezo
  • kutumia ipasavyo lugha inayoathiri hisia mbalimbali katika kuandika insha ya maelezo
  • kufurahia kuandika insha yenye maelezo yanayojenga picha dhahiri
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni nini kinafanya maelezo katika insha kudhihirika?
Learning Experiences
  • kutambua lugha inayoathiri hisi katika insha ya maelezo kutoka kwa vielelezo vya insha kwenye matini za kimaandishi au za kidijitali
  • kutambua jinsi matumizi ya lugha katika insha ya maelezo yanavyoathiri hisia mbalimbali
  • kutumia kifaa cha kidijitali kupigia mstari lugha iliyotumiwa kuathiri hisia katika kielelezo cha insha ya maelezo
  • kutambua umuhimu wa lugha inayoathiri hisia kutokana na kifungu kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali
  • kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia lugha inayoathiri hisia mbalimbali na kutekeleza majukumu ya kushawishi, kuburudisha, kupasha habari au kufunza
  • kuwasomea wenzake insha ya maelezo aliyoandika ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.8 Viakifishi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua matumizi ya mabano na kistari kifupi katika matini
  • kutumia mabano na kistari kifupi ipasavyo katika matini
  • kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo mabano na kistari kifupi katika matini ili kufanikisha mawasiliano
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, mabano hutumiwa vipi katika matini?
  • Je, kistari kifupi hutumiwa vipi katika matini?
Learning Experiences
  • kutambua matumizi ya mabano na kistari kifupi katika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kwenye matini andishi na za kidijitali
  • kuandika maneno, sentensi au vifungu vya maneno kuhusu suala lengwa akitumia mabano na kistari kifupi ipasavyo
  • kusahihisha kifungu ambacho hakijatumia mabano na kistari kifupi ipasavyo
  • kuandika kwenye kifaa cha kidijitali au daftarini kifungu kifupi kwa kutumia mabano na kistari kifupi ipasavyo
  • kuwasomea au kuwasambazia wenzake kazi yake kwenye mtandao ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.9 Insha za Kubuni Masimulizi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
  • kueleza ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi
  • kuandika insha ya masimulizi inayozingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
  • kufurahia kuandika insha za masimulizi zinazozingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya ili kufanikisha mawasiliano
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, unawezaje kulikuza wazo baina ya aya za insha ya masimulizi?
Learning Experiences
  • kutambua vipengele vya ukuzaji wa wazo baina ya aya za insha ya masimulizi kwenye matini za kimaandishi au za kidijitali
  • kueleza jinsi wazo lilivyokuzwa baina ya aya za insha ya masimulizi kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya
  • kuandika insha ya masimulizi akizingatia ukuzaji wa wazo baina ya aya na kusaidiana na wenzake kuisahihisha
  • kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
  • kumsomea mzazi, mlezi wake au mwenzake aya aliyoandika ili kutoa maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.10 Barua ya Kuomba Kazi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
  • kutambua vipengele vya barua rasmi ya kuomba kazi
  • kuandika barua rasmi ya kuomba kazi akizingatia vipengele vyake
  • kujenga mazoea ya kuandika barua rasmi ya kuomba kazi ipasavyo
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, unazingatia nini unapoandika barua rasmi ya kuomba kazi?
Learning Experiences
  • kueleza maana ya barua rasmi ya kuomba kazi
  • kutambua vipengele vya kimuundo vya barua rasmi ya kuomba kazi
  • kutambua ujumbe unaoafiki barua rasmi ya kuomba kazi kwa kujadiliana na mwenzake
  • kuandika barua rasmi ya kuomba kazi daftarini mwake au katika kifaa cha kidijitali na kuwasomea wenzake au kuwasambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni
  • kumsomea mzazi au mlezi wake barua rasmi ya kuomba kazi aliyoandika
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.11 Insha za Kubuni Maelezo

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kujadili mitazamo katika insha za maelezo
  • kuandika insha ya maelezo akizingatia mtazamo mahususi
  • kufurahia kuandika insha za maelezo zinazoonyesha mitazamo mahususi
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Learning Experiences
  • kutambua mitazamo mbalimbali ya kimaelezo katika insha za maelezo
  • kueleza mitazamo mbalimbali ya kimaelezo katika insha za maelezo
  • kuandika vidokezo vya insha vinavyozingatia mitazamo ya kimaelezo atakayotumia katika insha yake ya maelezo
  • kuandika insha ya maelezo akizingatia mitazamo ya kimaelezo aliyochagua kutumia
  • kuwasomea wenzake insha aliyoandika au awasambazie kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni
  • kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake insha ya maelezo aliyoiandika ili aitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.12 Hotuba ya Kushawishi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya hotuba ya kushawishi ili kuitofautisha na aina nyingine za hotuba
  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi
  • kuandika hotuba ya kushawishi akizingatia vipengele vifaavyo
  • kuchangamkia kuandika ipasavyo hotuba ya kushawishi
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unazingatia nini ili kufanya hotuba kuwa na ushawishi kwa wasomaji?
Learning Experiences
  • kutafiti na kueleza maana ya hotuba ya kushawishi
  • kutambua hotuba ya kushawishi katika matini
  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika uandishi wa hotuba ya kushawishi
  • kusoma kielelezo cha hotuba ya kushawishi na kujadili na wenzake vipengele vilivyotumiwa katika hotuba hiyo
  • kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kushawishi
  • kuandika hotuba ya kushawishi kuhusu suala lengwa akitumia vidokezo walivyovijadili
  • kuwasomea wenzake hotuba yake au kumsambazia kupitia mtandao ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.13 Insha za Kubuni Maelezo

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kueleza maana ya insha ya maelezo kuhusu hali
  • kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali
  • kuandika insha ya maelezo kuhusu hali akizingatia vipengele vyake
  • kufurahia kutunga insha za maelezo kuhusu hali
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo kuhusu hali?
Learning Experiences
  • kujadili dhana ya insha ya maelezo kuhusu hali akiwa na mwenzake
  • kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali akiwa na mwenzake
  • kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu hali katika kielelezo cha insha
  • kuandika insha ya maelezo inayohusu hali kutumia tarakilishi akizingatia vipengele vyake
  • kusomea au kumtumia mwenzake insha ya maelezo inayohusu hali kupitia mtandao ili kuitathmini
  • kumsomea mzazi au mlezi wake insha ya maelezo kuhusu hali aliyoandika ili atoe maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.14 Insha za Kiuamilifu Shajara

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kujadili umuhimu wa shajara
  • kueleza aina za shajara ili kuzibainisha
  • kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake
  • kuonea fahari matumizi ya shajara katika maisha ya kila siku
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Unazingatia nini unapoandika shajara?
Learning Experiences
  • kutafiti na kujadili na wenzake umuhimu wa shajara
  • kutafiti maktabani au mtandaoni aina za shajara
  • kujadili na mwenzake aina za shajara alizozitafiti
  • kueleza vipengele vya shajara
  • kuandika aina za shajara akizingatia vipengele vyake
  • kuwasomea wenzake shajara aliyoandika ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

2.15 Kujibu Baruapepe

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kujadili vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
  • kujibu baruapepe kwa kuzingatia vipengele vifaavyo
  • kujenga mazoea ya kujibu baruapepe ipasavyo
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni mambo gani ya kuzingatia unapoandika baruapepe?
  • Je, ni mambo gani ya kuzingatia katika kujibu baruapepe?
Learning Experiences
  • Mwanafunzi aweze
  • kujadili na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kujibu baruapepe
  • kutambua na kutumia lugha inayofaa kwa uandishi wa barua ya kujibu baruapepe
  • kujadili na wenzake vidokezo vya kutumia katika kujibu baruapepe
  • kuandika barua baruapepe kuhusu suala lengwa kwenye tarakilishi na kuwasambazia wenzake kupitia mtandao
  • kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake namna ya kujibu baruapepe ili waitolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

3
Strand 3.0

Sarufi

1 Sub-strand1 Lessons in Term 2

3.1 Vihusishi

1 Suggested LessonsTerm 2
Specific Learning Outcomes (SLOs)

By the end of this sub-strand, the learner should be able to:

  • kutambua vihusishi vya mahali na vya wakati katika matini
  • kutumia vihusishi vya mahali na vya wakati ipasavyo katika matini
  • kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya mahali na vya wakati katika matini mbalimbali
Key Inquiry Questions (KIQs)
  • Je, ni wakati gani tunatumia vihusishi vya mahali?
  • Je, vihusishi vya wakati vinatumika wakati gani?
Learning Experiences
  • kutambua vihusishi vya mahali na vya wakati kutoka kwa kapu maneno, mti maneno, chati, vitabu au katika tarakilishi
  • kutambua vihusishi vya mahali na vya wakati katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
  • kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vihusishi vya mahali na vya wakati ipasavyo
  • kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya mahali na vya wakati akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usafi wa mazingira
  • kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi au vifungu alivyotunga ili amtolee maoni
Teaching Resources

Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.

Grade 9 Kiswahili Full Year Strands (Terms 1, 2 & 3)

Complete annual curriculum scope for Grade 9 Kiswahili showing the term-by-term distribution of all 6 strands.

  • Kusikiliza na Kuzungumza
  • Kusoma
Term 2Current
  • Kusoma
  • Kuandika
  • Sarufi
  • Sarufi
  • 4 Sarufi
  • 1 Kusikiliza na Kuzungumza

Other Grade 9 Schemes of Work for Term 2

Download complete, editable schemes of work and explore strands for all learning areas in Grade 9.

Explore Schemes for Other CBC Grades

Browse curriculum designs and ready-to-print schemes across Pre-Primary, Primary, and Junior Secondary levels.

Curriculum Compliance & Official Accreditation

All schemes of work on this platform are meticulously aligned with official standards set by Kenyan educational statutory authorities:

Help & Answers

Frequently Asked Questions: Grade 9 Kiswahili Term 2

What strands and sub-strands are covered in Grade 9 Kiswahili Term 2?

In Term 2, Grade 9 Kiswahili covers the following main strands: Kusoma, Kuandika, Sarufi. Each strand is broken down into specific sub-strands with allocated lesson periods across the 14-week term.

What are the specific learning outcomes for Grade 9 Kiswahili in Term 2?

Each sub-strand defines measurable learning outcomes covering knowledge, psychomotor skills, and values. Learners engage in hands-on activities, realia observation, and collaborative problem-solving as outlined in the syllabus breakdown above.

How is Grade 9 Kiswahili Term 2 structured across weeks?

This scheme spans 14 calendar weeks (70 lesson slots), with Mid-Term Break in Week 8 and End-of-Term Assessment in Week 14, in full compliance with the 2026 Kenyan Ministry of Education school calendar.

Can I download and edit this Term 2 scheme in Microsoft Word or PDF?

Yes. You can instantly download a completely editable Microsoft Word document (.docx) or print-ready PDF, or open it directly in the online scheme builder to customize teacher name, school name, and TSC details.