Sarufi
1.1 Vihusishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua vihusishi vya -a unganifu na vya sababu katika matini
- kutumia vihusishi vya -a unganifu na vya sababu ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi yafaayo ya vihusishi vya -a unganifu na vya sababu katika mawasiliano
- Vihusishi vya a unganifu na vya sababu v i n a t o f a u t i a n a j e?
- kutambua vihusishi vya -a unganifu na vya sababu kutoka kwa kapu maneno, mti maneno, chati au katika tarakilishi
- kutambua vihusishi vya -a unganifu na v y a s a b a b u k a t i k a s e n t e n s i a u v i f u n g u kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vihusishi vya -a unganifu na vya sababu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la mazoezi ya viungo vya mwili
- kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi au vifungu alivyotunga ili amtolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.2 Vihusishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua vihusishi vilinganishi na kihusishi na katika matini
- kutumia vihusishi vilinganishi na kihusishi na ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia vihusishi vilinganishi na kihusishi na katika mawasiliano ya kila siku
- Vihusishi vilinganishi na kihusishi na h u c h a n g i a v i p i katika mawasiliano?
- kuchopoa vihusishi vilinganishi na kihusishi na katika kapu maneno, mti maneno, chati au katika tarakilishi
- kutambua vihusishi vilinganishi na kihusishi na katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino
- kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vihusishi vilinganishi na kihusishi na akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali
- kumtajia mzazi au mlezi wake kihusishi na na vihusishi vilinganishi katika mazingira ya nyumbani
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.3 Hali za Masharti
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya hali ya masharti
- kutambua matumizi ya hali ya masharti ya -nge- na -ngali- katika matini
- kutumia hali ya masharti -nge- na -ngali- ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi yafaayo ya hali ya masharti -nge- na -ngali- ili kukuza ufasaha wa lugha
- Je, unapotaka kuonyesha hali ya masharti unatumia viambishi gani?
- kutafiti mtandaoni au maktabani maana ya hali ya masharti
- kutambua matumizi sahihi ya hali ya - nge- na -ngali-, katika sentensi au vifungu
- kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya hali ya -nge- na -ngali-, kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka katika vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kutunga sentensi kuonyesha matumizi ya hali ya -nge- na -ngali-, akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la mitazamo hasi ya kijinsia
- kutafiti matumizi ya hali -nge- na -ngali- mtandaoni na kuwawasilishia wenzake ili waitolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.4 Vielezi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua vielezi vya namna na vya wakati katika matini
- kutumia vielezi vya namna na vya wakati ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia vielezi vya namna na vya wakati katika matini
- Ni vielezi vipi unavyovijua?
- Vielezi huchangia vipi katika mawasiliano?
- kuchopoa vielezi vya namna na vya wakati kutoka kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi
- kuvipigia mstari vielezi vya namna na vya wakati katika sentensi na vifungu
- kutenga vielezi vya namna na vya wakati katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vielezi vya namna na vya wakatiakizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama barabarani
- kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi alizotunga akitumia vielezi vya namna na vya wakati
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.5 Vielezi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua vielezi vya mahali na vya idadi katika matini
- kutumia vielezi vya mahali na vya idadi ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia vielezi vya mahali na vya idadi katika sentensi na vifungu
- Ni mahali gani panaweza kutajwa na vielezi vya mahali?
- Ni idadi gani zinazoweza kutajwa na vielezi vya idadi?
- kuchopoa vielezi vya mahali na vya idadi kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi
- kuvipigia mstari vielezi vya mahali na vya idadi katika sentensi na vifungu
- kutenga vielezi vya mahali na vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vielezi vya mahali na vya idadi
- kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vielezi vya mahali na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la huduma katika asasi za kijamii
- kuwasomea wenzake sentensi au vifungu alivyotunga ili watambue vielezi vya mahali na vya idadi
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.6 Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi Ngeli ya
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-ZI na YA-YA katika sentensi
- kutambua nomino za ngeli ya U-ZI na YA-YA katika matini
- kutumia nomino za ngeli ya U-ZI na YA-YA katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
- kuchangamkia upatanisho ufaao wa ngeli ya U-ZI na YA-YA ili kujenga ufasaha wa lugha
- Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U- ZI na YA-YA?
- Ni vitu gani uvijuavyo vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U- ZI na YA -YA?
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-ZI na YA-YA katika sentensi na mafungu ya maneno
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu vifupi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI na YA-YA
- kuchopoa nomino za ngeli ya U-ZI na YA-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
- kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-ZI na YA-YA
- kutenga nomino za ngeli ya U-ZI na YA-YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kuunda sentensi au vifungu vifupi vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI na YA-YA akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la misukosuko ya kijamii
- kuwasilisha kazi yake darasani au kuwasambazia wenzake mtandaoni ili waitolee maoni
- kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-ZI na YA-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani, na kumsomea mzazi au mlezi wake ili amtolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.7 Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi Ngeli ya
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI, KU na PA- KU-MU katika sentensi
- kutambua nomino za ngeli ya LI, KU na PA- KU-MU katika matini
- kutumia nomino za ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
- kuchangamkia matumizi yafaayo ya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya PA- KU-MU katika mawasiliano ya kila siku
- Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya LI, KU na PA- KU-MU?
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya LI, KU na PA-KU- MU katika sentensi au vifungu
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU
- kuchopoa nomino za ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
- kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU
- kutenga nomino za ngeli LI, KU na PA-KU-MU katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kutunga sentensi au vifungu vifupi vyenye upatanisho wa kisarufi ufaao wa ngeli ya LI, KU na PA-KU-MU akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi ya vifaa vya kidijitali katika biashara
- kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga akitumia nomino katika ngeli za LI, KU na PA-KU-MU ili kutoa maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.8 Vinyume vya Vihusishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
- kutambua vinyume vya vihusishi katika matini
- kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo katika matini
- kujenga mazoea ya kutumia ipasavyo vinyume vya vihusishi
- Kwa nini tunatumia vinyume vya vihusishi katika mawasiliano?
- kueleza maana ya vinyume vya vihusishi
- kutambua matumizi sahihi ya vinyume vya vihusishi kutoka katika vitabu, tarakilishi au chati
- kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vihusishi kutokana na mchanganyiko wa sentensi kutoka kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kujaza nafasi katika sentensi au kifungu kwa kutumia vinyume vya vihusishi ipasavyo
- kuandika sentensi upya kwa kuzingatia vinyume vya vihusishi
- kutunga sentensi au kifungu kifupi kuonyesha matumizi ya vinyume vya vihusishi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kukabiliana na msongo wa mawazo
- kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zenye vihusishi na vinyume vyake vinavyotokea katika mazingira ya nyumbani
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.9 Mnyambuliko wa Vitenzi Kauli ya
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viambishi vya kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha katika vitenzi
- kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na Kutendesha ipasavyo katika matini ili kufanikisha mawasiliano
- Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
- kutambua katika vitenzi, viambishi vya kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
- kutenga vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi
- kutenga vitenzi katika kauli ya kutendana kutendeana na kutendesha katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
- kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
- kujaza mapengo kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha
- kutunga sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la haki za kibinadamu
- kumweleza mzazi, mlezi au mwenzake jinsi ya kutumia vitenzi katika kauli ya kutendana, kutendeana na kutendesha watoe maoni yao
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.10 Aina za Sentensi Sentensi tata
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya sentensi tata ili kuitofautisha na aina nyingine za sentensi
- kutambua sentensi tata katika matini
- kuchambua maana mbalimbali ya sentensi tata
- kujenga ujuzi wa kuchanganua maana mbalimbali katika sentensi tata ili kufasiri habari kikamilifu
- Nini kinafanya sentensi kuwa tata?
- kutoa maelezo ya sentensi tata kwa usahihi
- kutambua sentensi tata kwenye orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino
- kutambua sentensi tata zinazojitokeza katika matini mbalimbali
- kutolea wenzake maana tofauti za sentensi tata alizozitambua
- kutunga sentensi tata kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yanayotokana na mienendo ya maisha
- kuwasilisha darasani sentensi tata alizotunga ili wenzake wazitolee maoni kwa heshima na upendo
- kumtungia mzazi au mlezi wake sentensi tata zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.11 Ukanushaji Hali ya masharti
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua ukanushaji wa hali ya masharti - nge-, -ngali-, na -ki- katika matini
- kutumia hali ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi sahihi ya ukanushaji wa hali ya masharti ya -nge, - ngali- na -ki- katika maisha ya kila siku
- Ni nini kinachoonyesha kuwa sentensi iko katika hali ya masharti?
- kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali- na -ki- katika matini mbalimbali (k.v. orodha ya sentensi, chati)
- kukanusha sentensi katika hali ya masharti ya -nge-, -ngali na -ki- katika kikundi
- kutunga sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa sentensi katika hali ya masharti ya -nge, -ngali- na -ki- akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la mshikamano wa kijamii
- kutumia ukanushaji wa masharti ya -nge-, -ngali- na -ki kuandika kifungu kifupi kuhusu suala lengwa
- kumweleza mzazi, mlezi au mwezake namna ya kukanusha hali ya masharti ya - nge-, -ngali- na -ki- zinavyokanushwa
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.12 Udogo na Ukubwa wa Nomino
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua hali ya udogo na ukubwa katika nomino
- kutumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia kwa ufasaha nomino katika hali ya udogo na ukubwa ili kufanikisha mawasiliano
- Ni maneno gani unayoyajua yaliyo katika hali ya ukubwa?
- Mwanafunzi aweze
- kuchopoa nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi
- kutambua viambishi vya udogo na ukubwa katika maneno
- kuandika majina ya vifaa vya darasani katika udogo na ukubwa
- kuambatanisha nomino za hali ya wastani na za hali ya udogo na ukubwa kwa usahihi kwenye chati za maneno
- kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo au ukubwa
- kutunga sentensi akitumia nomino katika hali ya udogo na ukubwa kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi ya ushuru
- kumtajia mzazi au mlezi wake majina ya vifaa vya nyumbani katika udogo na ukubwa katika, mazingira ya nyumbani
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.13 Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano ya kila siku. Kufikia Matarajio Anasikiliza na kujibu ipasavyo akizingatia aina mbalimbali za kusikiliza na kujibu. Anasikiliza na kutambua sauti lengwa na kuzitamka. Anasikiliza, kufasiri na kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe. Kufikia Matarajio Anazungumza na kujieleza kwa ufasaha akizingatia aina mbalimbali za uzungumzaji. Anawasilisha ujumbe na fani katika tungo mbalimbali za fasihi. Kufikia Matarajio Anasoma vifungu vya aina mbalimbali na kutambua ujumbe na msamiati. Anasoma mashairi na kutambua maudhui, dhamira, mandhari, ploti, wahusika na mbinu za lugha. Anasoma kwa kuzingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha. Kufikia Matarajio Anasoma matini ya kujichagulia na kutambua vipengele vinavyozingatiwa. Anatambua vipengele vya ufupisho na kufupisha matini. Kufikia Matarajio Anatumia alama ya koloni, nusu koloni, mabano, kistari kifupi kikamilifu. Anaandika aina mbalimbali za insha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uandishi. Anaandika aina mbalimbali za insha za kiubunifu kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya Kufikia Matarajio uandishi. Kufikia Matarajio Anatambua na kutumia aina mbalimbali za maneno katika lugha ya Kiswahili. Anatambua na kutumia viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi. Kufikia Matarajio Anatambua viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia upatanisho wa kisarufi ipasavyo. Anatambua vinyume vya vihusishi na kuvitumia katika matini. Anatambua na kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali. Kufikia Matarajio Anatambua na kutumia sentensi tata katika matini. Anatambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na kukanusha kwa kuzingatia hali ya masharti -nge-, -ngali- na -ki- ipasavyo. Anatambua na kutumia nomino katika hali ya Kufikia Matarajio ukubwa na udogo. Anatumia usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kikamilifu Chati Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v. tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Projekta Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Kamusi mbalimbali Kielelezo cha insha ya masimulizi Kielelezo cha insha ya maelezo Kielelezo cha insha ya wasifu Nakala ya barua ya kirafiki Nakala ya barua rasmi Tarakilishi/vipakatalishi Kinasasauti Rununu Projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango Sanamu Nyenzo halisi
- Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
- Unazingatia nini unapoandika usemi halisi?
- Unazingatia nini unapoandika usemi wa taarifa?
- Mbali na Matarajio Anasikiliza na kujibu ipasavyo akizingatia baadhi ya aina za kusikiliza na kujibu kwa kuelekezwa. Anasikiliza na kutambua baadhi ya sauti lengwa na kuzitamka akiongozwa. Anasikiliza, kufasiri na kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe kwa kiasi akielekezwa. Mbali na Matarajio Anazungumza na kujieleza kwa ufasaha akizingatia baadhi ya aina za uzungumzaji akielekezwa. Anawasilisha ujumbe na fani katika baadhi ya tungo za fasihi kwa kusaidiwa. Mbali na Matarajio Anasoma baadhi ya vifungu na kutambua ujumbe na msamiati kwa kiasi. Anasoma mashairi na kutambua baadhi ya yafuatayo; maudhui, dhamira, mandhari, ploti, wahusika na mbinu za lugha kwa kusaidiwa. Anasoma kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha kwa kuelekezwa. Mbali na Matarajio Anasoma matini ya kujichagulia na kutambua baadhi ya vipengele vinavyozingatiwa kwa kusaidiwa. Anatambua baadhi ya vipengele vya ufupisho na kufupisha matini kwa kuongozwa. Mbali na Matarajio Anatumia baadhi ya alama za kuakifisha kwa kusaidiwa. Anaandika aina mbalimbali za insha kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi kwa kuongozwa. Anaandika baadhi ya insha za kiubunifu kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi kwa kuongozwa. Mbali na Matarajio Mbali na Matarajio Anatambua na kutumia baadhi ya aina za maneno katika lugha ya Kiswahili kwa kuelekezwa. Anatambua na kutumia baadhi ya viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi kwa kuelekezwa. Mbali na Matarajio Anatambua baadhi ya viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia kwa kiasi upatanisho wa kisarufi ipasavyo. Anatambua vinyume vya baadhi ya vihusishi na kuvitumia katika matini kwa kusaidiwa. Anatambua na kutumia vitenzi katika baadhi ya kauli kwa kusaidiwa. Mbali na Matarajio Anatambua na kutumia baadhi ya sentensi tata katika matini kwa kuelekezwa. Anatambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na kukanusha kwa kiasi kwa kuzingatia hali ya masharti -nge-, -ngali- na -ki- kwa kusaidiwa. Anatambua na kutumia baadhi ya nomino katika Mbali na Matarajio hali ya ukubwa na udogo akielekezwa. Anatumia kiasi usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kwa kuongozwa?
- Mwanafunzi aweze
- kujadiliana na wenzake kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- kugeuza sentensi zilizo katika usemi halisi ziwe katika usemi wa taarifa
- kugeuza sentensi zilizo katika usemi wa taarifa ziwe katika usemi halisi
- kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi katika vikundi. Kikundi kimoja kichopoe kadi ya sentensi sahili katika usemi halisi na kikundi kingine kichopoe sentensi hiyo katika usemi wa taarifa
- kutunga sentensi sahili katika usemi halisi na usemi wa taarifa daftarini mwake kwa kuzingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala maadili ya kitaifa
- kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi sahili alizotunga za usemi halisi na usemi wa taarifa ili kuzitolea maoni. Kukaribia Matarajio Anasikiliza na kujibu ipasavyo akizingatia baadhi ya aina za kusikiliza na kujibu. Anasikiliza na kutambua baadhi ya sauti lengwa na kuzitamka. Anasikiliza, kufasiri na kueleza msimamo na mielekeo kuhusu ujumbe kwa kiasi. Kukaribia Matarajio Anazungumza na kujieleza kwa ufasaha akizingatia baadhi ya aina za uzungumzaji. Anawasilisha ujumbe na fani katika baadhi ya tungo za fasihi. Kukaribia Matarajio Anasoma baadhi ya vifungu na kutambua ujumbe na msamiati. Anasoma mashairi na kutambua baadhi ya yafuatayo; maudhui, dhamira, mandhari, ploti, wahusika na mbinu za lugha Anasoma kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha. Kukaribia Matarajio Anasoma matini ya kujichagulia na kutambua baadhi ya vipengele vinavyozingatiwa. Anatambua baadhi ya vipengele vya ufupisho na kufupisha matini. Kukaribia Matarajio Anatumia baadhi ya za kuakifisha mshazari kikamilifu. Anaandika aina mbalimbali za insha kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi. Anaandika baadhi ya insha za kiubunifu kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi. Kukaribia Matarajio Kukaribia Matarajio Anatambua na kutumia baadhi ya aina za maneno katika lugha ya Kiswahili. Anatambua na kutumia baadhi ya viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi. Kukaribia Matarajio Anatambua baadhi ya viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia upatanisho wa kisarufi ipasavyo. Anatambua vinyume vya baadhi ya vihusishi na kuvitumia katika matini. Anatambua na kutumia vitenzi katika baadhi ya kauli. Kukaribia Matarajio Anatambua na kutumia baadhi ya sentensi tata katika matini. Anatambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na kukanusha kwa kiasi kwa kuzingatia hali ya masharti -nge-, -ngali- na -ki- ipasavyo. Anatambua na kutumia baadhi ya nomino katika Kukaribia Matarajio hali ya ukubwa na udogo. Anatumia kwa kiasi usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kikamilifu. 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Mijadala inayohusu masuala mtambuko mbalimbali 4. Ziara za nyanjani 5. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Mijadala inayohusu masuala mtambuko mbalimbali 4. Ziara za nyanjani 5. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Mijadala inayohusu masuala mtambuko mbalimbali 4. Ziara za nyanjani 5. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Ziara za nyanjani 4. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
