| 1 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa Kina Novela | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza maana ya mandhari na ploti katika fasihi b) kutambua mandhari mbalimbali na ploti ya novela c) kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ya novela d) kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari na ploti ya novela aliyosoma e) kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika kazi ya fasihi | 1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika kazi za fasihi ulizowahi kusoma? 2. Ploti ya hadithi ina vipengele gani? | - kueleza maana ya mandhari katika fasihi - kutambua mandhari mbalimbali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kujadili umuhimu wa mandhari ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari - kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kueleza maana ya ploti katika fasihi - kutambua ploti ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kujadili umuhimu wa ploti ya novela iliyoteuliwa na mwalimu akishirikiana na wenzake - kuandika maelezo mafupi kuhusu ploti ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti - kumsomea mzazi au mlezi novela iliyochapishwa au kutoka mtandaoni na kutambua mandhari na ploti yake | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | Kusoma | Kusoma kwa Kina Novela | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza maana ya mandhari na ploti katika fasihi b) kutambua mandhari mbalimbali na ploti ya novela c) kueleza umuhimu wa mandhari na ploti ya novela d) kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari na ploti ya novela aliyosoma e) kuchangamkia nafasi ya mandhari na ploti katika kazi ya fasihi | 1. Ni mandhari gani unayokumbuka yaliyo katika kazi za fasihi ulizowahi kusoma? 2. Ploti ya hadithi ina vipengele gani? | - kueleza maana ya mandhari katika fasihi - kutambua mandhari mbalimbali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kujadili umuhimu wa mandhari ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu mandhari - kuandika maelezo mafupi kuhusu mandhari ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kueleza maana ya ploti katika fasihi - kutambua ploti ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kujadili umuhimu wa ploti ya novela iliyoteuliwa na mwalimu akishirikiana na wenzake - kuandika maelezo mafupi kuhusu ploti ya novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuwawasilishia wenzake darasani uchambuzi wake kuhusu ploti - kumsomea mzazi au mlezi novela iliyochapishwa au kutoka mtandaoni na kutambua mandhari na ploti yake | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Kushawishi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi b) kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi c) kueleza habari za kifungu cha ufahamu cha kushawishi kwa ufupi d) kuchangamkia usomaji wa ufahamu cha kushawishi ili kukuza uelewa wa habari | 1. Kifungu cha kushawishi kina sifa gani? | - kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi na lini) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi - kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi - kuandika habari za kifungu cha ufahamu cha kushawishi kwa ufupi - kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - kumsomea mzazi au mlezi kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kujibu maswali | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 4 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Kushawishi | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kudondoa habari mahususi katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi b) kueleza maana ya msamiati na vifungu vya maneno katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi c) kueleza habari za kifungu cha ufahamu cha kushawishi kwa ufupi d) kuchangamkia usomaji wa ufahamu cha kushawishi ili kukuza uelewa wa habari | 1. Kifungu cha kushawishi kina sifa gani? | - kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi na lini) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi - kueleza maana ya msamiati kuhusu suala lengwa (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kuueleza kwa kutumia kamusi - kuandika habari za kifungu cha ufahamu cha kushawishi kwa ufupi - kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - kumsomea mzazi au mlezi kifungu cha ufahamu cha kushawishi na kujibu maswali | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 5 | Kusoma | Kusoma kwa Kina Novela Wahusika | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kutambua wahusika katika novela b) kujadili sifa za wahusika katika novela c) kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela d) kuandika muhtasari wa sifa za wahusika katika novela e) kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika katika novela f) kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi katika maisha ya kila siku | 1. Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela? | - kutambua wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kujadili sifa za wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuigiza wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu ili kukuza uelewa wa sifa zao - kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kutazama video kuhusu wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama - kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika - kumsimulia mzazi au mlezi wake hadithi ya novela na kujadiliana kuhusu wahusika wawili | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa Kina Novela Wahusika | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kutambua wahusika katika novela b) kujadili sifa za wahusika katika novela c) kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela d) kuandika muhtasari wa sifa za wahusika katika novela e) kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika katika novela f) kujenga mazoea ya usomaji wa kazi za kifasihi katika maisha ya kila siku | 1. Ni mambo yapi yanayokuwezesha kuwaelewa wahusika katika novela? | - kutambua wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kujadili sifa za wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuigiza wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu ili kukuza uelewa wa sifa zao - kueleza uhusiano kati ya wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kutazama video kuhusu wahusika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuandaa muhtasari kuhusu sifa za wahusika katika video aliyotazama - kujadili mafunzo yanayotokana na matendo ya wahusika - kumsimulia mzazi au mlezi wake hadithi ya novela na kujadiliana kuhusu wahusika wawili | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | Kusoma | Kusoma kwa Mapana Matini ya kujichagulia | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia b) kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia c) kutumia ipasavyo msamiati aliosoma katika matini ya kujichagulia d) kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma e) kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku | 1. Unapenda kusoma matini za aina gani? 2. Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea? | - kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma - kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia (andishi au ya kidijitali - kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua - kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu - kumtunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma na kuwasomea wenzake darasani - kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni - kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | Kusoma | Kusoma kwa Mapana Matini ya kujichagulia | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia b) kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia c) kutumia ipasavyo msamiati aliosoma katika matini ya kujichagulia d) kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma e) kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku | 1. Unapenda kusoma matini za aina gani? 2. Unazingatia nini unapochagua matini ya kujisomea? | - kueleza ujumbe wa matini ya kujichagulia aliyosoma - kutambua msamiati uliotumiwa katika matini ya kujichagulia (andishi au ya kidijitali - kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua - kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu - kumtunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma na kuwasomea wenzake darasani - kutoa muhtasari wa matini ya kujichagulia aliyosoma na kuwasilisha kwa wenzake ili waitolee maoni - kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 4 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora b) kusoma kifungu kwa kasi ifaayo c) kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo d) kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo e) kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano | 1. Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha? | - kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha - kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma makala kwa ufasaha makala (k.v. hotuba na habari) - kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora - kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 95 kwa dakika) - kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) - kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono) - kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 5 | Kusoma | Kusoma kwa Ufasaha | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora b) kusoma kifungu kwa kasi ifaayo c) kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo d) kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo e) kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano | 1. Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha? | - kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha - kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma makala kwa ufasaha makala (k.v. hotuba na habari) - kusoma kifungu kuhusu suala lengwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora - kusoma kifungu kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno sahihi yasiyopungua 95 kwa dakika) - kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo) - kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa (k.v. ishara za uso na mikono) - kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | 1 | Kusoma | Kusoma kwa Kina Mbinu za Lugha | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi b) kutambua mbinu za lugha katika novela c) kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela d) kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi | 1. Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu? | - kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi - kutambua mbinu za lugha (k.v. tashbihi, sitiari, nahau, methali, tasfida na tanakali za sauti) katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuhakiki uwasilishaji wa wenzake na kutoa maoni - kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika novela - kumtajia mzazi au mlezi matumizi ya mbinu za lugha katika novela aliyosoma | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 2 | Kusoma | Kusoma kwa Kina Mbinu za Lugha | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi b) kutambua mbinu za lugha katika novela c) kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela d) kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi | 1. Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu? | - kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi - kutambua mbinu za lugha (k.v. tashbihi, sitiari, nahau, methali, tasfida na tanakali za sauti) katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - kuhakiki uwasilishaji wa wenzake na kutoa maoni - kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika novela - kumtajia mzazi au mlezi matumizi ya mbinu za lugha katika novela aliyosoma | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 3 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Mjadala | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala b) kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala c) kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi d) kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala e) kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari | 1. Kwa nini tunasoma ufahamu? 2. Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu? | - kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini) katika kifungu cha mjadala cha ufahamu - kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu cha mjadala na kuueleza kimuktadha au kwa kutumia kamusi - kuandika habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi - kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala - kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - kutathmini kazi ya wenzake kwa upendo - kumsomea mzazi au mlezi kifungu cha ufahamu na kujibu maswali | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 4 | Kusoma | Kusoma kwa Ufahamu Kifungu cha Mjadala | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala b) kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala c) kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi d) kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala e) kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari | 1. Kwa nini tunasoma ufahamu? 2. Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu? | - kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini) katika kifungu cha mjadala cha ufahamu - kutambua msamiati kuhusu suala lengwa katika kifungu cha mjadala na kuueleza kimuktadha au kwa kutumia kamusi - kuandika habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi - kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala - kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - kutathmini kazi ya wenzake kwa upendo - kumsomea mzazi au mlezi kifungu cha ufahamu na kujibu maswali | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |
| 5 | Kusoma | Ufupisho | By the end of the sub strand, the learner should be able to; a) kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja b) kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja c) kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa d) kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali | 1. Ni mambo gani yanayokusaidia kuandika ufupisho? | - kueleza kwa usahihi ujumbe katika kila aya kwa kutumia sentensi mojamoja - kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - kujadili katika kikundi kuhusu jinsi ya kuandika ufupisho wa matini - kumsomea mzazi au mlezi kifungu na kuandika ufupisho kutoka mtandaoni au vitabuni na kutambua ujumbe wa aya za matini | Approved course textbooks, realia, charts | - Observation - Oral questions - Written exercises | (Handwritten after lesson) |