Sarufi
1.1 Viwakilishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika matini
- kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi yafaayo ya viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ili kufanikisha mawasiliano
- Viwakilishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
- kuchopoa viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika kapu maneno, chati, mti maneno au katika tarakilishi
- kutaja viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi
- kutambua viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu akitumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia viwakilishi vya nafsi, vionyeshi/viashiria na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usafi wa sehemu za umma
- kumsomea mzazi au mlezi wake sentensi au vifungu alivyotunga ili amtolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.2 Viwakilishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika matini
- kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi ifaavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika mawasiliano
- Kuna tofauti gani kati ya viwakilishi vya sifa na vivumishi vya sifa?
- Viwakilishi vya vya pekee hutumiwa kwa namna gani?
- kuchopoa viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika kapu maneno, kadi maneno, chati au katika tarakilishi
- kutaja viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi
- kutambua viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi katika sentensi au vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
- kujaza nafasi zilizoachwa katika sentensi na vifungu kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi vifaavyo
- kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viuliziakizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi yafaayo ya dawa
- kumtungia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vya sifa, vya pekee na viulizi na kuzituma mtandaoni ili wenzake na mwalimu wazitolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.3 Viwakilishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika matini
- kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika sentensi na vifungu
- Unazingatia nini unapotumia viwakilishi vimilikishi?
- Je, viwakilishi visisitizi vina muhimu gani katika mawasiliano?
- kuchopoa viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika kapu la maneno, orodha ya maneno, sentensi, vifungu au katika tarakilishi
- kutaja viwakilishi vimilikishi na visisitizi
- kutambua viwakilishi vimilikishi na visisitizi katika orodha ya maneno, sentensi, vifungu kwenye vitabu au tarakilishi kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino
- kujaza nafasi kwenye sentensi au vifungu kwa kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la dhiki zinazokumba wanyama
- kumsomea mzazi, mlezi au mwenzake sentensi zinazotumia viwakilishi vimilikishi na visisitizi ili azitolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.4 Nyakati na Hali
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu
- kubainisha vitenzi vilivyo katika hali ya mazoea na timilifu katika matini
- kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo katika matini
- kufurahia kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano
- Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo hutokea mara kwa mara utatumia viambishi vipi?
- Je, unapotaka kuonyesha kwamba jambo limefanyika na kukamilika utatumia viambishi vipi?
- kueleza maana ya hali ya mazoea na timilifu
- kusoma kifungu na kutambua hali iliyotumiwa
- kuchagua vitenzi vinavyoashiria hali ya mazoea na timilifu katika chati, sentensi, vifungu, na tarakilishi
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi daftarini mwake au katika kifaa cha kidjitali kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la matumizi bora ya maliasili
- kuwasomea wenzake au kuwasambazia mtandaoni kazi yake ili ili waitolee maoni
- kumwasilishia mzazi, mlezi au mwenzake sentensi alizotunga katika hali ya mazoea na timilifu
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.5 Nyakati na Hali
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ili kuzipambanua
- kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu katika matini
- kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo ili kufanikisha mawasiliano
- Kwa nini ni muhimu kujifunza nyakati na hali?
- kueleza maana ya wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu
- kutambua viambishi vya wakati uliopita hali timilifu (li, me) na wakati ujao hali timilifu (ta, me)
- kutenga vitenzi vilivyo katika wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu kutoka kwenye chati au mti maneno
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia wakati uliopita hali timilifu na wakati ujao hali timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la majukumu ya kijinsia
- kuandika kifungu kifupi kwenye kifaa cha kidijitali na kuwasambazia wenzake mtandaoni ili wakibadilishe katika nyakati na hali lengwa
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.6 Vivumishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi katika matini
- kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi ya vivumishi vya sifa na viashiria katika mawasiliano
- Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vya sifa na vivumishi viashiria?
- kutambua vivumishi vya sifa na viashiria kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno
- kutenga vivumishi vya sifa na viashiria katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuvipigia mstari au kuvikolezea wino katika matini za kidijitali
- kumtajia mwenzake vivumishi vya sifa na viashiria katika mazingira ya shuleni na ya nyumbani
- kutafiti mtandaoni kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria/vionyeshi ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vya sifa na viashiria akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la usalama nyumbani
- kumsomea mzazi au mlezi kuhusu vivumishi vya sifa na viashiria alivyotafiti mtandaoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.7 Vivumishi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua vivumishi vimilikishi na vya idadi katika matini
- kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo katika matini
- kuchangamkia matumizi ya vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mawasiliano
- Je, kuna tofauti gani kati ya vivumishi vimilikishi na vya idadi?
- kutambua vivumishi vimilikishi, na vya idadi kwenye chati, kadi maneno au kapu maneno akishirikiana na wenzake
- kutenga vivumishi vimilikishi na vya idadi katika orodha ya maneno, sentensi au vifungu kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino katika matini za kidijitali au za kimaandishi
- kumtajia mwenzake vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya shuleni
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia vivumishi vimilikishi na vya idadi akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuhudumia wenye mahitaji maalum
- kumtajia mzazi au mlezi sentensi zenye vivumishi vimilikishi na vya idadi katika mazingira ya nyumbani
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.8 Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli I-ZI na I-I katika sentensi
- kutambua nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika matini
- kutumia nomino za ngeli I-ZI na I-I katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
- kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I ipasavyo katika sentensi na vifungu ili kuimarisha mawasiliano
- Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya I-ZI?
- Ni majina yapi unayojua ya ngeli ya I-I?
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya I-ZI na I-I katika sentensi na mafungu ya maneno
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I
- kuchopoa nomino za ngeli I-ZI na I-I kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
- kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya I-ZI na I-I
- kutenga nomino za ngeli ya I-ZI na I-I katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kutunga sentensi au vifungu vyenye upatanisho ufaao wa kisarufi kwa kutumia nomino za ngeli ya I-ZI na I-I akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la uhalifu wa mtandaoni
- kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya I-ZI na I-I akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani, na kumsomea mzazi au mlezi wake ili amtolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.9 Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA katika sentensi
- kutambua nomino za ngeli ya ya U-U na U-YA katika matini
- kutumia nomino za ngeli ya U-U na U-YA katika matini kwa kuzingatia upatanisho ufaao wa kisarufi
- kuchangamkia kutumia nomino katika ngeli ya U-U na U-YA ipasavyo ili kuimarisha umilisi wa lugha
- Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-U?
- Ni vitu gani katika mazingira yako vyenye majina yaliyo katika ngeli ya U-YA?
- kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi vya ngeli ya U-U na U-YA katika sentensi na vifungu vya maneno
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA
- kuchopoa nomino za ngeli ya U-U na U-YA kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au katika tarakilishi
- kutaja majina ya vitu katika mazingira ya shuleni yaliyo katika ngeli ya U-U na U-YA
- kutenga nomino za ngeli ya U-U na U-YA katika orodha ya nomino, sentensi au vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kutunga sentensi au vifungu vifupi vyenye upatanisho ufaao wa ngeli ya U-U na U-YA akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la majukumu ya mnunuzi
- kuwasilisha kazi yake darasani au kuwasambazia wenzake mtandaoni ili waitolee maoni
- kutunga sentensi zenye upatanisho ufaao wa kisarufi wa ngeli ya U-U na U-YA akitumia nomino za vitu vilivyo katika mazingira ya nyumbani, na kumsomea mzazi au mlezi wake ili amtolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.10 Vinyume vya Vitenzi na Vielezi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya kinyume ili kuibainisha
- kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini
- kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi katika mawasiliano
- Je, ni vinyume gani vya vitenzi unavyojua?
- Je, unajua vinyume gani vya vielezi?
- kujadili maana ya kinyume akiwa na mwenzake
- kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi kwa kutumia kadi maneno, mti maneno, kapu maneno
- kutambua vinyume vya vitenzi na vielezi katika matini (k.v. orodha ya maneno, sentensi na vifungu vya maneno)
- kuchagua sentensi zinazoashiria matumizi ya vinyume vya vitenzi na vielezi kutoka kwa sentensi mbalimbali kwenye vitabu, tarakilishi au chati
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi akitumia vinyume vya vitenzi na vielezi ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kukabiliana na hisia
- kusakura mtandaoni au kutafiti katika vitabu vya ziada ili kupata vinyume zaidi vya vitenzi na vielezi
- kumsomea mzazi au mlezi sentensi alizotunga kuhusu vinyume vya vitenzi na vielezi
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.11 Mnyambuliko wa Vitenzi
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika vitenzi
- kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo katika matini
- kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano
- Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
- kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia
- kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi
- kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari
- kugeuza vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kuhusu suala lengwa kwa kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka, kutendewa na kutendatenda akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la haki za watoto
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.12 Aina za Sentensi Sentensi changamano
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua kutambua sentensi changamano katika matini
- kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini
- kuonea fahari matumizi ya sentensi changamano katika mawasiliano ya kila siku
- Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
- kueleza maana ya sentensi changamano
- kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi kwa kuzipigia mstari au kuzikolezea wino
- kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika
- kutunga sentensi changamano ipasavyo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la magonjwa yasiyoambukizwa
- kuwawasilishia wenzake darasani sentensi changamano alizotunga ili wazitathmini
- kumtungia mzazi au mlezi sentensi changamano zinazohusu shughuli katika mazingira ya nyumbani
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.13 Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kueleza maana ya ukanushaji ili kuupambanua
- kutambua ukanushaji kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu katika matini
- kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu
- kuchangamkia kukanusha sentensi katika hali ya mazoea na timilifu ili kukuza mawasiliano
- Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini?
- Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
- kutambua hali ya mazoea na timilifu kutoka kwenye chati, mti maneno, vitabu au vifaa vya kidijitali
- kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya mazoea na timilifu
- kuchagua sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu kutoka kwenye mchanganyiko wa sentensi kutoka kwenye vitabu, tarakilishi au chati kwa kuzikolezea wino au kuzipigia mstari
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la heshima kwa tamaduni za wengine
- kukanusha sentensi au vifungu alivyotunga kisha awatumie wenzake kupitia vifaa vya kidijitali au kuwasomea darasani ili wazitolee maoni
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.14 Udogo wa Nomino
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua nomino katika hali ya udogo katika matini
- kubadilisha nomino za hali ya wastani kuwa katika hali ya udogo
- kutumia nomino katika hali ya udogo ipasavyo
- kuonea fahari kutumia nomino katika hali ya udogo katika sentensi
- Je, ni mambo gani tunayozingatia tunapotumia nomino katika udogo?
- kutambua nomino katika hali ya udogo kwenye orodha ya nomino, chati, kadi maneno, kapu maneno, sentensi, vifungu vya maneno au tarakilishi
- kutambua udogo katika maneno katika matini mbalimbali
- kuandika majina ya vifaa vya darasani katika udogo (k.v. kidawati, kijitabu)
- kubadilisha nomino za hali ya wastani ziwe katika katika hali ya udogo akiwa na wenzake
- kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya udogo ipasavyo
- kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuweka akiba
- kuwasilisha kazi yake darasani ili wenzake wazitathmini
- kumsomea mzazi au mlezi majina ya vitu vinavyopatikana nyumbani au shuleni katika udogo na kumtungia sentensi kwa kutumia maneno hayo
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
1.15 Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
By the end of this sub-strand, the learner should be able to:
- kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini
- kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa kwa kuzingatia kanuni za kubadilisha usemi
- kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo
- kuchangamkia matumizi ya usemi halisi na usemi wa taarifa katika mawasiliano. Kufikia Matarajio Anasikiliza na kujibu ipasavyo akizingatia aina mbalimbali za kusikiliza na kujibu. Anasikiliza na kufasiri ujumbe na kuuhusisha na maisha ya kila siku. Anasikiliza na kutambua sauti lengwa na kuzitamka. Anazungumza na kujieleza kwa ufasaha akizingatia Kufikia Matarajio aina mbalimbali za uzungumzaji. Anawasilisha ujumbe na fani katika tungo mbalimbali za fasihi. Kufikia Matarajio Anasoma vifungu vya aina mbalimbali na kutambua ujumbe na msamiati. Anasoma tamthilia na kutambua maudhui, dhamira, mandhari, ploti, wahusika na mbinu za lugha Anasoma kwa kuzingatia vipengele vya kusoma kwa ufasaha. Anasoma matini ya kujichagulia na kutambua vipengele Kufikia Matarajio vinavyozingatiwa. Anatambua vipengele vya ufupisho na kufupisha matini. Kufikia Matarajio Anatumia alama ya hisi, ritifaa, mtajo na mshazari kikamilifu. Anaandika aina mbalimbali za insha kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uandishi. Anaandika aina mbalimbali za insha za kiubunifu kwa kuzingatia vipengele vifaavyo vya uandishi. Kufikia Matarajio Anatambua na kutumia aina mbalimbali za maneno katika lugha ya Kiswahili. Anatambua na kutumia viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi. Anatambua viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia upatanisho wa kisarufi Kufikia Matarajio ipasavyo. Anatambua vinyume vya vitenzi na vielezi na kuvitumia katika matini. Anatambua na kutumia vitenzi katika kauli mbalimbali. Anatambua na kutumia sentensi changamano katika matini. Anatambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na Kufikia Matarajio kukanusha kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo. Anatambua na kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo. Anatumia usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kikamilifu Chati Michoro na picha Mgeni mwalikwa Vifaa vya kidijitali (k.v tarakilishi/vipakatalishi, kinasasauti, rununu, projekta, video) Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali ● Tarakilishi/vipakatalishi ● Kinasasauti ● Rununu ● Projekta ● Tarakilishi/vipakatalishi ● Kinasasauti ● Rununu ● Kamusi mbalimbali ● Kielelezo cha insha ya masimulizi ● Kielelezo cha insha ya maelezo ● Kielelezo cha insha ya wasifu ● Nakala ya barua ya kirafiki ● Nakala ya barua rasmi ● Tarakilishi/vipakatalishi ● Kinasasauti ● Rununu ● Projekta ● Kapu maneno ● Mti maneno ● Kadi maneno ● Picha za vitu mbalimbali ● Michoro ● Chati ● Mabango ● Sanamu ● Nyenzo halisi
- Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa?
- Unazingatia nini unapobadilisha usemi?
- Mbali na Matarajio Anasikiliza na kujibu ipasavyo akizingatia baadhi ya aina za kusikiliza na kujibu kwa kuelekezwa. Anasikiliza na kufasiri ujumbe na kuuhusisha na maisha ya kila siku kwa kiasi akielekezwa Anasikiliza na kutambua baadhi ya sauti lengwa na kuzitamka akiongozwa. Anazungumza na kujieleza kwa ufasaha akizingatia baadhi ya aina za Mbali na Matarajio uzungumzaji akielekezwa. Anawasilisha ujumbe na fani katika baadhi ya tungo za fasihi kwa kusaidiwa. Mbali na Matarajio Anasoma baadhi ya vifungu na kutambua ujumbe na msamiati kwa kiasi. Anasoma tamthilia na kutambua baadhi ya yafuatayo; maudhui, dhamira, mandhari, ploti, wahusika na mbinu za lugha kwa kusaidiwa. Anasoma kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha kwa kuelekezwa. Anasoma matini ya kujichagulia na kutambua baadhi ya Mbali na Matarajio vipengele vinavyozingatiwa kwa kusaidiwa. Anatambua baadhi ya vipengele vya ufupisho na kufupisha matini kwa kuongozwa. Mbali na Matarajio Anatumia baadhi ya alama za kuakifisha kwa kusaidiwa. Anaandika aina mbalimbali za insha kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi kwa kuongozwa. Anaandika baadhi ya insha za kiubunifu kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi kwa kuongozwa. Mbali na Matarajio Anatambua na kutumia baadhi ya aina za maneno katika lugha ya Kiswahili kwa kuelekezwa. Anatambua na kutumia baadhi ya viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi kwa kuelekezwa. Anatambua baadhi ya viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia kwa kiasi Mbali na Matarajio upatanisho wa kisarufi ipasavyo. Anatambua vinyume vya baadhi ya vitenzi na vielezi na kuvitumia katika matini kwa kusaidiwa. Anatambua na kutumia vitenzi katika baadhi ya kauli kwa kusaidiwa. Anatambua na kutumia baadhi ya sentensi changamano katika matini kwa kuelekezwa. Anatambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na Mbali na Matarajio kukanusha kwa kiasi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu kwa kusaidiwa. Anatambua na kutumia baadhi ya nomino katika hali ya ukubwa na udogo akielekezwa. Anatumia kiasi usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kwa kuongozwa?
- kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini
- kujadili kanuni za kubadilisha usemi (k.v. wakati, nafsi, alama za uakifishi)
- kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa
- kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi
- kutunga sentensi za usemi halisi na usemi wa taarifa akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la maadili ya kijamii
- kuwasomea au kuwasambazia wenzake sentensi alizotunga ili wazitathmini. Kukaribia Matarajio Anasikiliza na kujibu ipasavyo akizingatia baadhi ya aina za kusikiliza na kujibu. Anasikiliza na kufasiri ujumbe na kuuhusisha na maisha ya kila siku kwa kiasi. Anasikiliza na kutambua baadhi ya sauti lengwa na kuzitamka. Anazungumza na kujieleza kwa ufasaha akizingatia baadhi ya aina Kukaribia Matarajio za uzungumzaji. Anawasilisha ujumbe na fani katika baadhi ya tungo za fasihi. Kukaribia Matarajio Anasoma baadhi ya vifungu na kutambua ujumbe na msamiati. Anasoma tamthilia na kutambua baadhi ya yafuatayo; maudhui, dhamira, mandhari, ploti, wahusika na mbinu za lugha Anasoma kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vya kusoma kwa ufasaha. Anasoma matini ya kujichagulia na kutambua baadhi ya Kukaribia Matarajio vipengele vinavyozingatiwa. Anatambua baadhi ya vipengele vya ufupisho na kufupisha matini. Kukaribia Matarajio Anatumia baadhi ya alama za kuakifisha kikamilifu. Anaandika aina mbalimbali za insha kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi. Anaandika baadhi ya insha za kiubunifu kwa kuzingatia baadhi ya vipengele vifaavyo vya uandishi. Kukaribia Matarajio Anatambua na kutumia baadhi ya aina za maneno katika lugha ya Kiswahili. Anatambua na kutumia baadhi ya viambishi vya nyakati na hali katika vitenzi. Anatambua baadhi ya viambishi vya ngeli, ngeli za nomino na kutumia upatanisho wa Kukaribia Matarajio kisarufi ipasavyo. Anatambua vinyume vya baadhi ya vitenzi na vielezi na kuvitumia katika matini. Anatambua na kutumia vitenzi katika baadhi ya kauli. Anatambua na kutumia baadhi ya sentensi changamano katika matini. Anatambua maneno yaliyokanushwa, viambishi vya ukanushaji na Kukaribia Matarajio kukanusha kwa kiasi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu ipasavyo. Anatambua na kutumia baadhi ya nomino katika hali ya ukubwa na udogo. Anatumia kwa kiasi usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini kikamilifu. 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Mijadala inayohusu masuala mtambuko mbalimbali 4. Ziara za nyanjani 5. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Mijadala inayohusu masuala mtambuko mbalimbali 4. Ziara za nyanjani 5. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Mijadala inayohusu masuala mtambuko mbalimbali 4. Ziara za nyanjani 5. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali 1. Kazi ya vikundi 2. Vyama vya ushirika shuleni 3. Ziara za nyanjani 4. Kutagusana na vyombo vya habari na vifaa vingine vya kidijitali
Approved textbooks, realia, counters, flashcards, charts & digital devices.
